Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hii sio habari njema...kwa Northpole.. kokote na popote waliko wakisaka mkate wao.!

Natumaini ni uzushi mwingine...

'Ikumbukwe Kaskazini,CCM imeshinda Ubunge,Udiwani na nafasi nyinginezo..
'Sasa huo ubaguzi wanaufanyaje.? kuna wana cdm,ccm,tlp na cuf na wengi wasio na vyama

NB.awamu ya 5 huwezi kupata tenda kwa kutumia mbinu zilezile za awamu ya 4....mchezo umeshabadilika; japo uwanja ni uleule..'
 
Hiyo inawezekana ikawa propaganda tu kwa sababu anazojua mwandishi, au pengine ni inferiotity complex kutojiamini na kujihisi vibaya kwamba kabila lao serikali hii inalionea. Inawezekana sasa hivi hawapati sana tender kwasababu njia walizozoea za mkato zimefungwa, hazipo. Mi siamini kabisa eti ktk taasisi ya serikali yenye mchanganyiko wa makabila mengi wanakaa kujadili kabila moja tu la wachaga. acha kiki za aibu namna hii! Km hujapewa tender jua wenzako wamekuzidi maksi, hakuna kingine
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Mambo ya kupoteza muda katika mitandao na hadithi za kufikirika zimempoteza kamanda huko mbeya! Usiposituka haraka nawe tutakupoteza ingawa bado unahitajika! Chapa kazi achana na JPM maana yupo sana hadi 2025.
 
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
tena wote walioshiriki katika tender hupewa mrejesho....huyu ni miongoni mwa watu wa kbila hilo waliokuwa wamezoea kutoa rushwa wapewe tender ss hv haziliki pelekeni documents mkishindwa kutaneni bar mpozane machungu kwa style hiyo
 
Hiyo inawezekana ikawa propaganda tu kwa sababu anazojua mwandishi, au pengine ni inferiotity complex kutojiamini na kujihisi vibaya kwamba kabila lao serikali hii inalionea. Inawezekana sasa hivi hawapati sana tender kwasababu njia walizozoea za mkato zimefungwa, hazipo. Mi siamini kabisa eti ktk taasisi ya serikali yenye mchanganyiko wa makabila mengi wanakaa kujadili kabila moja tu la wachaga. acha kiki za aibu namna hii! Km hujapewa tender jua wenzako wamekuzidi maksi, hakuna kingine
Facts..
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Tenda zote sasa hivi ni magufulli mwenyewe bashite lemutux jerry muro msukuma na gsm na wenyewe watapita
 
Zamani kulikuwa na msemo usemao kutesa kwa zamu sijui kama ni usemi huu ndio unaofanywa na mleta mada kwa upande wa shilingi na kama ni kweli basi wahenge wabarikiwe kwa maana usemi huu ni hai.
 
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
Ndugu, unaishi ulimwengu hupi?
 
Mkuu..Unandanganyika kirahisi sanaa..ulipokuwepo umeshidwa kureason ata mwenyewe??kabla Ujaleta mada Hapa.Tatizo lenu mlipenda shortcuts na ndo azipo tena.
....
Lipeni kodi ya serikali .acheni janja janja..
 
Pumba tuu, utabadili jina kwa kupigiwa simu....hizo si Kampuni?
Acha ujinga. Hawabadili jina la kampuni ila wakurugenzi wanaepuka majina ya koo. Hizi kampuni siyo kama zile za kina Mengi ambazo zinajulikana kitaifa. Tatizo huelewi na huna ujuzi mpana wa makampuni. Sasa kama kipo kikundi kidogo cha watu kinachoangalia majina ya kikabila ambacho hakijui chochote kuhusu haya makampuni madogo madogo kuna haja gani ya kuweka jina la ukoo! Pengine ningeweza kifunguka hapa zaidi ila naheshimu Identities za watu.
 
Kila kitu na wakati wake...enzi za Mkapa na Kikwete tenda zote walikuwa wanapata hawa kwa sababu walikuwa wanapeana wenyewe kwa wenyewe. Sasa kama ni kweli wametemwa, wanajifanya kulia, kwani walikuwa hawaoni wenzao jinsi walivyokuwa wanalalamika enzi hizo? Warudi tu kwao Moshi wakatapeliane wenyewe kwa wenyewe, tumewachoka.
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Mbona hayo yakutotumia majina s ya ukoo walianza zamani? ,au hukusukia malakamiko yao kwa sababu yalikuwa yakiwanufaisha 70% sasa wanapata 50% kwao ni kilio?
 
Twafwa!!!
 
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza

Wewe ni popoma tu, unakuwepo wakati wa maamuzi ya nani apewe tender?? Hii nchi tender hazitolewi kwa kukidhi vigezo tu, bali na mambo mengine kama kujuana na commission pia hupelekea upendeleo. Usijifanye Mungu kuwa unajua sana, hujui kitu.
 
Nazungumzia utaratibu wewe popoma,, Kama huwaga mnakata commission halinihusu,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom