GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Ondoa takataka zako hapa, Umeweka akili zako mfukoni kutetea wachaga, Naona weekend imekuwa ndefu ulishalewa kabla ya muda, Mkuu unakunywa bia ukiwa juani au? Hivi story zako na mkeo ndio unagenaralize kuwa wote wanaishi kama weweSasa huu mjadala nimekutana nao na wanakiri wazi kuwa katika kila document wanayoandika sasa, hawaweki jina la ukoo kama walivyosema ni kwa yale wanayoamini kuwa yanajulikana. Hawa ni wakurugenzi wa makampuni ila mengi ni madogo madogo. Wanafanya hivyo kutokana na ushauri wanaopewa na wasaidizi.
Think Thrice mkuu, Au baada ya kutoka moshi kufanya matambiko na kafara mizimu iliwaambia hamtalipa kodi na mtapewa tenda bure, Shame on you na wachaga wenzako mliotoka kwenye makafara December