Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Open your eyesUnafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.
Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
Tatizo mlishajimilikisha mali na miradi ya nchi hii. Kila penye pesa ninyi tu ndiyo mpate, wakipewa wengine UKABILA! Kwenda zakon. Hata makanisani kelele ni hizohizo. Matapeli wakubwa na wachonganishi nyinyi.Mkuu huu mjadala nimekutana nao na wanatoa shuhuda mbalimbali. Yupo mmoja amesema kuwa aliomba mkopo ila alitakiwa kuthibitishwa na hazina ili benki imkopeshe. Jamaa kasema alinyimwa mkopo kutokana tu na kabila lake. Hii ni baada ya msajili wa hazina kumkataa. Tena ni huyu msajili wa sasa.Alipopeleleza akaambiwa kuwa kabila lake limemponza. Wanajiapiza kwa majina yao ya asili wanayaacha.
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.
Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.
Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.
Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.
Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.
Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.
Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Huyu mtu anacho sema Si uongo. Wanajiita John Stephen,Andrew Michael etc. wanafanikisha hata ktk ajira ndio wame acha kabisa majina ya Masawe, Shayo, Mushi.
Why ?
Wanadhani Watu wamesahau walivyokuwa wanaingizana kazini kikabila . Sehemu zote muhimu walijaa wao kiupendeleo una kuta ofisi ina Ndugu 10 wa familia moja. Mna fahamu hali ilivyokuwa TRA hivi kweli wao ndio wanajua tax collection kuliko wote? CRDB, Bandari, OR UTUMISHI, Hazina n.k walijaa Kilimanjaro sehemu nyeti zote.
Sasa huko ktk Biashara tender zote asilimia kubwa ilikuwa wao why hakuna wengine wanaojua Biashara mbona sasa the ground has been leveled wanakimbia Kariakoo lakini wakinga wapo. Ni hivi Watu hao wengi ni wapigaji watoa rushwa, wakwepa kodi, wanajua kuharibu Biashara za wengine kwa tabia zao za ukabila na ukosefu wa maadili. Sasa hivi tender zinakuwa processed kwa haki sio upendeleo.
Mlizoea dezo eti nyie ndio mnajua kutafuta pesa wengine hawa jui sababu ya ujanja ujanja . Hebu pitieni majina ya watumishi wasio na vyeti walioondolewa Serikalini nusu yao ni Watu wa huko Kilimanjaro. Mmestukiwa Ndugu zangu.
Angalieni nyuma mlipokosea mjisahihishe. Kuacha majina ya ukoo Si dawa ya mnalodhani ni tatizo. Hali mliyonayo ndio wenzenu walikuwa nayo. Sasa hakuna upendeleo. Kwa hili JPM amelikomesha kama kuna waliobaki ni wachache wenye upendeleo .
Process ya kubadilisha jina la kampuni iliyokwishasajiliwa ni fupi sana. Unahitaji tu barua na company board resolution. Kwa kawaida haichukui zaidi ya wiki.Yaani kwa uongo huu ni sawaa kupanda mlima kinyume yume.
fact! 1:Kampuni imesajiliwa tayari sasa unabadili vipi?
2:Kuna baadhi ya document mfano bank, Id na nk nazo unabadili?
3:Huu ubaguzi umeanza lini km umefuata sheria zote na kazi yako nzuri?
Hao unaowasemea ndo waasisi wa hayo unayoyasema,
Wewe sasa ni mwongo!Kweli hizi ni stori za kijiweni kama alivyosema yaani zamani tunaita wazurulaji, katika tender application unaingia kwa jina la kampuni au biashara na kama ukibadirisha inamaana unaanza upya kuanzia tin namba. Hii ni proses ndefu na tenda ni mwaka 1 na kumbukumbu zako ndiyo zinakusaidia kupata tena sasa jamaa wa kijiwe katupa jiwe.
CRDB mfano wa wazi.mathabane HAKIKA MKUU, HLI KABILA LILIZOEA KUNYANYASA WENGNE, HALAFU TULIPOKUWA TUNALAUMU WALIJBU KWA KEJELI ETI WASOMI WENG WANATOKA KABILA LAO, WAKAT HATA KWENYE KAZ ILIKUWA MKIOMBA 10 HATA KAMA WA KABILA LAO ALIKUWA MMOJA WANAMPA HUYOHUYO.