Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Bidii yako tu ndiyo itakayo kutoa!
Mambo mengine ni porojo za mtaani!
Trust me
Nitakuamije? Imani zipo za aina mbalimbali, mfano wako wabinafsi na wachoyo wanaamini maendeleo binafsi ambayo ni kukwamisha wengine kwa manufaa yao kupitia juhudi zao, lakini pia wapo wazalendo wanaamini kwenye maendeleo ya pamoja kujenga misingi ya usawa katika jamii inayotoa fursa sawa na kuruhusu equal and fair competition kwenye elimu, ajila, biashara na huduma zingine zote za kijamii
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Lazima utakuwa msukuma wewe maana mnajiona kama nchii hii ni Mali yenu peke yenu.
 
Kweli akina mangi vyuma vimekaza vibaya.
Walizoea ujanja ujanja wa kuiba fedha ya serikali alafu wanajisifu eti wapambanaji. Kodi walikuwa hawalipi sababu TRA ilikuwa wamejaa wao tu.
Naona pale kariakoo wanaanza kukimbizwa na wakinga ka paka mwizi.

Saluti u baba Magu.
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Wewe ni mpuuzi sana, mbona 2005-2010 hukuwahi kwenda vijiweni kusikiliza waliokuwa wakisononeka wakati wenzao hao wanakula na kusaza? Leo kwa unafiki mkubwa unajifanya eti umepita vijiweni, hata ukipita mighahawani hao watu unaowatetea haijarishi. Maisha huwa ni mzunguko na kila kundi/watu wana ridhiki kutoka kwa aliyewaumba, siku ukicheka jiandae siku utalia. Siku ukipata jua kuna aliyekosa lakini ipo pia siku na wao watapata ili wewe ukose. Kila jambo lina pande mbili.

Rudi huko kijiweni waambie watulie wale walivyochuma mapema, huu ni mda wa wengine kufurahia kuumbwa na kama ulivyosema kask, basi acha na wa kus nao watabasamu kidogo ...uenda wakati wanakula hawakujua wanakula na vipofu walipiga kelele, sasa vipofu nao wameelewa kumbe walikuwa wanaliwa vyao, kwahiyo wavumilie vishindo

Na tabu ni pale unapozoea sana vya kunyonga vikija vya kuchinja ni lazima yakukute tu, hakuna namna.
 
Hayo ni maelekezo siwezi kukataa maana ni operesheni sambaratisha kaskazini.
Pumbafu sana yule mnyalu.
 
Kaaa kimya Kama haujui michezo inayfanyika katika tender hili la jamaa ni kweli wengi wanalalaminka kuna Hali ya ukabila imetawala katka haya mambo na siku hzi hakuna kufuata procurement process
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
are you supporting this? remember two wrongs don't make it right.
 
Mbona hueleweki mkuu..??? MTU MZIMA anakamata simu anaandika upuuzi utadhani anaandikia WATOTO WENZIE...!!!

Sasa ulimaanisha huyu jamaa ni MTU MZIMA au MTOTO..??

Punguza jazba mkuu. Jamaa hana kosa, kafikisha tu taarifa kma alivyoisikia.
 
Nawasiwasi na mtoa maada hayo maneno sio sahihi kwani wachaga ndo wanaongoza kupeana dili sasa inapotokea tofauti na mazoea basi kashfa zinaanza time inabdilika mkuu
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja
Ukiona neno litafakari usiwe mpingaji
 
Na bado, ni juzi tu walikuwa wanamsema jamaa vibaya kwa mafumbo, sie wengine tukang'amua. Kipindi cha sikukuu wakaja na tambo nyingi eti kwao vyuma havipo, tukajua kifuatacho ni lazima wayakanyage. Sasa ni dhahiri visu vimeshaacha nyama na mifupa inaumia, kisu kikifika mfupa hata awe nani ...leo wanaanza kusema wanaonewa.

Duniani kote yaani nyie ndo mnaonewa? Kwamba walioko vyuoni wananyimwa vyeti, wanaosafiri hawapewi pass? mmezuiwa kuoa? kwingine wamepewa msamaha wa kodi isipokuwa wao tu? huu ni ushenzi na ni kuendelea kujidharirisha kuanza kudai fairness za hovyo. Yaani leo mnawaona wamakonde wanachukua nafasi zenu?

Katika soko huria mizani iko sawa kifuatacho ni kila raia kupambana, pambaneni na hari zenu. Mtashangaza kumbe hata kuhesabiwa hakuwasaidii tena, ama warudi tena wakahesabiwe upya labda itawasaidia. Lakini kwa uncle Magu, sidhani
 
Hao unaowasemea ndo waasisi wa hayo unayoyasema,
Hahahahaaaa,eee bwana eeeee,ina maana zamani ukiwa Masawe,Tarimo kupata tenda ilikuwa nje nje na masilahi mengine bwerere?Je majina hayo kutamalaki Idara zenye mshiko kama TRA,PSPF,NSSF,TPA,BOT,NIDA,UHAMIAJI,TANROAD, n.k bado yanaendelea.Ukiuliza mbona majina haya ya Mlima Kilimanjaro yametapakaa taasisi hizi,jibu utakalopata eti wamesoma sana.Kwani shule/vyuo za Wandendeure na Masawe huwa zipo tofauti?Masomo tofauti?Walimu tofauti?Vitabu tofauti?Majengo/mazingira tofauti?TUSICHEZE NA KITU KINACHOITWA KILA ZAMA NA WAKATI WAKE.Ujanja ujanja sasa hivi inawezekana umebinywa ndio maana vikelele.Nadhani sifa ndio inayombeba mtu kwenye tenda sio ujanja ujanja,pia tuache kulalamika kuhusu ukabila wakati mchakato wa kushughulikia jambo kihalali unafanyika.Hivi kuhusu sekta nyeti na zenye mshiko kujazana akina Shimbooonii imeanza kulalamikiwa leo au tangu zamani?Ilikuwa halali au kimchongo mchongo wa kujuana.Je,kuzibwa nyufa za short cut si ndio huenda imesababisha watu wa kabila fulani kuona kuwa wanatengwa na kubaguliwa tofauti na mazoea yao ya zamani?[emoji86] [emoji86] [emoji86].
 
Hicho kijiwe cha madon wapiga machungu kinapatikana mitaa gani!?..Naona deal zao mabilioni na tenda serikalini tu!.
 
Wewe ni mchonganishi na hujui kudanganya mara ulisikia kijiweni mara ukaona mzee anapiga sim mmh
 
Teh teh, kwa hii hari, naomba rais azidishiwe kaulinzi. Chuki hii iko dhahiri sasa, huenda hizo bodi huwa wanakuwa ni wagogo tu ndo wanapitisha na kuwatoa akina mange. Yaani Tz hii bodi iundwe na kabila moja eti walikatae jingine ...haya ni maajabu. Hawa jamaa naona pumzi zimekata na sasa wanahaha, wakubali tu kwamba zama zimebadirika na Tz ni ya wote. Kama kusoma sahivi watu wamesoma, biashara kila kona watu wanafanya biashara n.k no longer "that tribes".
 
Jibu rahisi ni hili:NJIA KUU ZA KUPIGA FEDHA KWA NJIA YA MKATO NA KIUJANJA UJANJA ZIMEZIBWA.NI LAZIMA TUWE NA KELELE ZA KULETA VISINGIZIO TELE.ANADHANI KUBADILI MAJINA KWENYE DOCUMENTS ZOTE ZINAZOTAKIWA NI KAZI RAHISI KAMA KUNYWA ULANZI.NA MLETA UZI HAJUI KUWA KAMPUNI NI LEGAL ENTITY wala sio legal person.
 
Hawatakuelewa na hawakuelewi unachosema,ukweli ndio huo.
 
Mtoa mada nakupinga kwa nguvu zote na nadiriki kukuita mchochezi na pia nina wasiwasi na imani yako kwani uongo ni dhambi katika ukristo na uislamu,Mimi nimekaa sana Arusha maeneo ya Majengo(miezi3) Morombo(miezi6)sasa Njiro pia nilikaa week 3 mfululizo December 5 mpaka January 1 2018 lyamungo.watu wa Moshi nimekaa nao sana kwa mda mrefu kwani hata Rafiki yngu wa damu ni mchagga kwao ni mkuu,na Mimi naongea nao sana,kutokana na Mimi kuwa na uwezo wa kuongea KIZINZA,KISUKUMA,KISUMBWA,KINYAMWEZI(huwa ni lugha moja na kisukuma).pia ikumbukwe mtu ajuae kwa ufasaha kizinza atasikilizana vizuri na MHAYA,MKEREWE,MSUBI,na MJITA kwa hyo hta kihaya nakiongea kwa 75% na mhaya hawezi kuongea nisimwelewe hata ni cha chumbani,Hivyo bc nimekuwa nikiongea na wachagga kwa kujitambulisha katika makabila mbalimbali,hii habari ni UONGO,na si kwamba wanaichukia ccm no na wala hawana habari na kanda ya ziwa.Nahc waliokuwa wanalalamika akiwemo na mtoa mada ni wale msiokuwa na sifa mlizoea kupewa visivyowastahili haki imefuatwa mnatapatapa.Mwisho kabisa Tanzania hatuna hizo habari labda kwa wapumbavu wachache na wala wasibebe dhima ya kabila,kwani hata leo tuliambiwa CHADEMA ni ya wachagga na kwa kuwa ngome kuu za chadema ni ARUSHA,MWANZA,MBEYA na DAR je hyo mikoa ni ya wachagga? Karibu nkunulie nyama choma ya mbuzi hapa kwa Morombo naona maisha yamekupiga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…