Hahahahaaaa,eee bwana eeeee,ina maana zamani ukiwa Masawe,Tarimo kupata tenda ilikuwa nje nje na masilahi mengine bwerere?Je majina hayo kutamalaki Idara zenye mshiko kama TRA,PSPF,NSSF,TPA,BOT,NIDA,UHAMIAJI,TANROAD, n.k bado yanaendelea.Ukiuliza mbona majina haya ya Mlima Kilimanjaro yametapakaa taasisi hizi,jibu utakalopata eti wamesoma sana.Kwani shule/vyuo za Wandendeure na Masawe huwa zipo tofauti?Masomo tofauti?Walimu tofauti?Vitabu tofauti?Majengo/mazingira tofauti?TUSICHEZE NA KITU KINACHOITWA KILA ZAMA NA WAKATI WAKE.Ujanja ujanja sasa hivi inawezekana umebinywa ndio maana vikelele.Nadhani sifa ndio inayombeba mtu kwenye tenda sio ujanja ujanja,pia tuache kulalamika kuhusu ukabila wakati mchakato wa kushughulikia jambo kihalali unafanyika.Hivi kuhusu sekta nyeti na zenye mshiko kujazana akina Shimbooonii imeanza kulalamikiwa leo au tangu zamani?Ilikuwa halali au kimchongo mchongo wa kujuana.Je,kuzibwa nyufa za short cut si ndio huenda imesababisha watu wa kabila fulani kuona kuwa wanatengwa na kubaguliwa tofauti na mazoea yao ya zamani?[emoji86] [emoji86] [emoji86].