Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hawa wao walikuwa wanapeana tenda kwa kujuana ila mambo yao mengi ni ujanjaujanja tuu.acha wengine nao wanufaike.
 
Well said mkuu.
 
Agiza balimi mbili nakuja kulipa mkuu.kuna watu wanadhani wote ni mafala hawajui.
 
unawezaje kuthibitisha hii story yako?
Unajaribu kupandikiza mbegu ya ukabila, mziki wake unauweza wewe?
 
Nimekutana na watu wengi wanalalamikia ukosefu was madawa katika hospitali za umma, pia mashuleni hali ni mbaya sana kutokana na kiwango kidogo cha pesa wapatacho kufikia hali ya kushindwa kuwapa majaribio ya kutosha wanafunzi.
Watumishi wa wa umma wakiwepo wauguzi na walimu hawalipwi stahili zao za kikanuni na kuleta manung'uniko makubwa.
Ningependa kujua hizo jitihada zinazo ungwa mkono za Rais wetu kiasi cha kuanza kusema aongezewe muda ni zipi? Mbona hali ya kiuchumi ya mwananchi wa kawaida imekuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 3 iliyopita?
 
..hata uchumi wa kwenye makaratasi umedorora.

..uchumi wa mtu mmoja-mmoja umeporomoka kabisa.

..mzunguko wa pesa ni mdogo ni biashara za watu wa chini wa kawaida zinakufa.

..kipato cha wananchi kimepungua.

..ni kweli uchumi wetu ulikuwa na matatizo. Magufuli alichaguliwa aje kutatua matatizo hayo bila kuongeza matatizo mengine mapya.

..haiwezekani mgonjwa amuone daktari kwa kusumbuliwa na homa, halafu ktk kutibiwa apatwe na magonjwa ya kuhara, pumu, blad-presha,...
 
Hizo data feki umezitoa wapi ,Nani kakwambia umekufa ,ili iweje umeleta Uzi kiushambenga

Uchumi wetu uko imara imara zaidi ya uimara wenyewe
 
yan jamani sijui Tanzania siku za usoni itakuwaje, maana kwa hali hii si ya kawaida
 
Reactions: PNC
Jamaa sio mchumi mzuri wala mwanademokrasia mzuri. Anasema ana nia njia lakini anakisa mbinu. Mfano kuna huyu wakala wa majengo wa taifa TBA, kuna nyuzi zinarindima humu kwamba anavuruga, lakini ukiangalia yeye ndio muasisi wa hao jamaa kupewa kazi. Na aina hiyo ya maamuzi ndio anayoitumia pia katika uchumi. Halafu kwenye hii awamu yake ndio tumeona wasomi wa juu wakipewa nafasi, sasa sijui shida iko wapi.
 
Unaongelea uchumi wakati wewe ni mganga wa tiba mbadala, wapi na wapi!,
Hata ukitaka kuiboresha nyumba yako ya zamani iwe ya kisasa lazima baadhi ya maeneo yabomolewe.
Mlizoea vya mtelemko, hapa kazi tu
 
Reactions: Oii
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…