Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
Hawa wao walikuwa wanapeana tenda kwa kujuana ila mambo yao mengi ni ujanjaujanja tuu.acha wengine nao wanufaike.
 
Yaani mtu mzima unakamata sim unaandika Upuuzi kama huu.Unadhani unaandikia watoto wenzio?Kwa hiyo unataka kusema wanasajili kampuni upya?na kubadilisha majina ya watoto wao kisa hayatakiwi hapa nchini au?na siku yakitakiwa majina hayo ya Tarimo watawabadilisha tena?....Hebu tuwe tunatumia hata akili kidogo tu.
Well said mkuu.
 
Mleta mada mzushi Serikali hufanya biashara na kampuni sio watu binafsi .kwa hiyo wamebadili majina kuanzia kwa msajili wa makampuni kubadili majina ya wamiliki na pia wamebadili majina TRA na pia wamebadili majina ya signatories bank na wamebadili majina vitambulisho vyao vya taifa na passport,na vyeti vyao vyote vya masomo na kuzaliwa wamebadili ? kubadili jina si kitu rahisi hivyo mchochezi bwege wewe lazima litangazwe hadi gazeti LA Serikali.Huu uzushi wa kipuuzi.Mleta mada chunga usifikiri kujificha nyuma ya keyboard ndio huwezi dakwa.Ni geografia tu kujua uko longitude na latitude namba ngapi kwenye point zinapo intersect unafikiwa hadi hapo ulipo na unadakwa kirahisi tu
Agiza balimi mbili nakuja kulipa mkuu.kuna watu wanadhani wote ni mafala hawajui.
 
unawezaje kuthibitisha hii story yako?
Unajaribu kupandikiza mbegu ya ukabila, mziki wake unauweza wewe?
 
Nimekutana na watu wengi wanalalamikia ukosefu was madawa katika hospitali za umma, pia mashuleni hali ni mbaya sana kutokana na kiwango kidogo cha pesa wapatacho kufikia hali ya kushindwa kuwapa majaribio ya kutosha wanafunzi.
Watumishi wa wa umma wakiwepo wauguzi na walimu hawalipwi stahili zao za kikanuni na kuleta manung'uniko makubwa.
Ningependa kujua hizo jitihada zinazo ungwa mkono za Rais wetu kiasi cha kuanza kusema aongezewe muda ni zipi? Mbona hali ya kiuchumi ya mwananchi wa kawaida imekuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 3 iliyopita?
 
..hata uchumi wa kwenye makaratasi umedorora.

..uchumi wa mtu mmoja-mmoja umeporomoka kabisa.

..mzunguko wa pesa ni mdogo ni biashara za watu wa chini wa kawaida zinakufa.

..kipato cha wananchi kimepungua.

..ni kweli uchumi wetu ulikuwa na matatizo. Magufuli alichaguliwa aje kutatua matatizo hayo bila kuongeza matatizo mengine mapya.

..haiwezekani mgonjwa amuone daktari kwa kusumbuliwa na homa, halafu ktk kutibiwa apatwe na magonjwa ya kuhara, pumu, blad-presha,...
 
Hizo data feki umezitoa wapi ,Nani kakwambia umekufa ,ili iweje umeleta Uzi kiushambenga

Uchumi wetu uko imara imara zaidi ya uimara wenyewe
 
yan jamani sijui Tanzania siku za usoni itakuwaje, maana kwa hali hii si ya kawaida
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jamaa sio mchumi mzuri wala mwanademokrasia mzuri. Anasema ana nia njia lakini anakisa mbinu. Mfano kuna huyu wakala wa majengo wa taifa TBA, kuna nyuzi zinarindima humu kwamba anavuruga, lakini ukiangalia yeye ndio muasisi wa hao jamaa kupewa kazi. Na aina hiyo ya maamuzi ndio anayoitumia pia katika uchumi. Halafu kwenye hii awamu yake ndio tumeona wasomi wa juu wakipewa nafasi, sasa sijui shida iko wapi.
 
..hata uchumi wa kwenye makaratasi umedorora.

..uchumi wa mtu mmoja-mmoja umeporomoka kabisa.

..mzunguko wa pesa ni mdogo ni biashara za watu wa chini wa kawaida zinakufa.

..kipato cha wananchi kimepungua.

..ni kweli uchumi wetu ulikuwa na matatizo. Magufuli alichaguliwa aje kutatua matatizo hayo bila kuongeza matatizo mengine mapya.

..haiwezekani mgonjwa amuone daktari kwa kusumbuliwa na homa, halafu ktk kutibiwa apatwe na magonjwa ya kuhara, pumu, blad-presha,...
Unaongelea uchumi wakati wewe ni mganga wa tiba mbadala, wapi na wapi!,
Hata ukitaka kuiboresha nyumba yako ya zamani iwe ya kisasa lazima baadhi ya maeneo yabomolewe.
Mlizoea vya mtelemko, hapa kazi tu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom