Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Well saidFormula ya Mafanikio ya kiuchumi nchi hii ni:
TZ Economic Success = JK Economic Policies + JPM Management
Rudisha Kilimo kwanza.
Kilimo ndo uti wa mgongo wa uchumi wetu na ni njia ya uhakika ya Kulift mamilion kutoka katika umasikini. Tukihimiza viwanda kabla ya kuinua pato la mwananchi, Viwanda vingi viyakuwa vya investors na wananchi wataishia kuwa vibarua viwandani badala ya kuwa na capacity ya kuvimiliki.
Rudisha BRN
BRN ni vision, ni namna ya kuanzisha, kusimamia na kuendesha miradi kisomi na kitaalam zaidi. BRN chini ya Presidential Delivery Bureau ilisaidia katika miradi ambayo ni Landmark katika utawala wa JK, miradi kama ya umeme ilikuwa inasimamiwa chini ya BRN na ilikuwa inakwenda vizuri ( I hope bado inaenda vizuri). Kuondoa BRN ni kurudi ktk utaratibu wa zamani wa kufanya business ambao tumeshaona toka enzi za JKN, AHM, BWM kuwa siyo Optimal. Ofcourse matatizo ya BRN lazima yalikuwepo ilipaswa kuyatatua
Peleka Pesa za Serikali kwenye Mabenki ya biashara
Mabenki ni wadau wa maendeleo, wakiyumba na watu wanayumba, Serikali inao wajibu wa kuyasaidia mabenki yawe stable, kwa wenzetu wamarekani wao walikuwa wanayabail out, Sisi kwa kuwa hatuna pesa za kuyapa njia ya kuyabail out ni serikali kuweka pesa zake huko, ila inachoweza kufanya ni kukaa nayo mezani na kunegotiate nayo ili iwepo win-win, kwa mfano mathalan serikali ikitaka kukopa itakopa kwa riba ndogo sana, na pia kwa kuwa serikali imeweka mahela yake mengi huko then pindi Mabenki hayo yakikopesha hizo pesa kwa wadau wengine then serikali ipate percentage fulani nzuri ya faida. Namna hii ni nipe nikupe!. Bila serikali kufanya hivi naamini mabenki yatadorora zaidi.
Wekeza zaidi kwenye Diplomasia ya Kiuchumi.
Pambana kuleta wawekezaji, nenda duniani huko ongea na wawekezaji, tafuta miradi, tafuta masoko ya mazao ya kilimo, tangaza fursa zilizomo nchini, balozi zetu zipimwe kwa investments zinazoletwa nchini
Conclusion
Naamini, sera za kiuchumi za JK na Usimamizi madhubuti wa JPM wa kubana mianya ya rushwa, ufisadi na uzembe vinaweza kutusogeza
ndelea kutuhadithiaMkuu naapa kwa jina la Mungu kuwa huu mjadala nimekutana nao na niliyoyaandika ni baadhi tu ya niliyoyasikia.Nimesikia mengi sana!
Unajua kweli kutunga hadithi. Ni vema ukahamie kwenye sector ya utunzi wa vitabu.Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.
Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.
Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.
Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.
Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.
Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.
Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Hilo ndiyo lilikuwa jibu la wakati ule. "Sisi tumesoma zamani! " Kwetu elimu iliingia zamani sana! nk. Tukavumiliana kwamba huenda ni kweli. Lakini awamu hìi imeonekana kumbe kuna Prof. Mpanduji, Prof. Mwalwisi nk. Kama tulivumiliana wakati ule tuendelee na moyo huo huo hadi ukamilifu wa dahari.Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Usidhani kwa kuongea hivyo wewe umepona la hasha. Akiwamaliza hao atakuja kwenu!! Ni suala la wananchi kuamua kushikana, ni bora watu elfu 10 wafe, ili milioni 50 wapone!!Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Tarimo....ficha ujinga wako.Sasa unadhani mimi naweza kupoteza muda kutunga story? Nilitamani kujua wanawezaje kufanya hivyo kirahisi kwani naelewa ni vigumu kujificha na hata kubadili jina la kampuni ambalo umelitengeneza. Ila nikagundua pia kuwa kama wanapigiwa hadi simu na wasaidizi wa mkuu, huenda yeye ndiyo hasa mkuu anaangalia jina la mkurugenzi linafananaje! Labda hiyo ya kubadili majina au kuweka initials haijalishi kama kampuni inajulikana au vipi ila ni vigumu mkuu kuzielewa kampuni zote ila akishaona tu mkurugenzi wake ni fulani kutokana na jina basi palepale anakata! Lazima tukiri kuwa mkuu ameasisi hilo la kuangalia kazi kikabila na data zipo! Kina Lissu walilisemea! Sasa unaweza kupunguza makali kwa kutokutumia hilo jina. Unafanya hivyo ili kujiweka walau kwenye eneo ambalo hutakatwa mwanzoni kutokana na jina! Hilo walau utaliepuka ingawa huna uhakika.
Kuhusu mambo ya zabuni kwa kufuata taratibu siku hizi hayapo tena!
Umesema kama yatahitajika, je unaweza kusubiri na njaa kali leo ili ujipe matumaini pengine ya kushiba kesho wakati hujui hiyo kesho itakuwaje? Epuka hilo kama njia zipo.
Nimekutana na huu mjadala na watu walikuwa wanaongea wakimaanisha!
Wachagga mtaipata freshSasa mkuu wamebuni mbinu. Nyie kipindi hicho si mngetumia majina ya hawa watu?
Nilihitaji chumba cha biashara hapo Moshi Mjini lakini tatizo ni jina nililotumia kuombea hicho chumba cha biashara siyo la Kaskazini nikakosa hicho chumba,sasa nimeamua kubumba jina naitwa Urio ili niweze kupata chumba cha biasharaKama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.