Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hawa ndio waongo na wamejaa sifa zote! sifa yao ni kutaka kupendwa na nyingine ni walaghai, wakisema kitu kumbe kinyume chake!
 
Mkuu hawa jamaa yaani matatizo yote ni wao ndio wameanzisha kisha wanarudi tena kufufua ccm siku zao zinaesabika na hawataaminj kuwa ni kweli imetokea

Mf wananunua viongozi kwa billion 2 kisha uchaguzi unarudiwa kwa billion 3 wewe uwezi kuona, sasa ndio wanaongozwa na mtu ambaye hata hakujiandaa kuwa rais.nchi imemshinda sasa ameamua kupoteza watanzania.lejea kwenye manunuzi ya ndege na samaki

Swissme
 
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Na wa sasa; ipo siku wataulizwa matumizi mabaya ya fedha za umma, hasa la kununua wabunge na madiwani wa wapinzani na kuitisha uchaguzi upya kwa gharama kubwa.
 
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono

Aanzishe chama kingine tumwone ni Mzalendo wa kweli asiyebebana hao wenye tamaa
 
Aanzishe chama kingine tumwone ni Mzalendo wa kweli asiyebebana hao wenye tamaa
Boss kumbe uzalendo wake ni hadi aanzishe chama? Watu wente tamaa wako popote pale Duniani hata akianzisha chama kipya bado watu kama hao watajitokeza tu hata kama sio kwa kipindi hicho ila hata pale muda wake utakapokwisha hivyo basi wacha apambana kitika hiki chama chetu pendwa tu na nakuhakikishia mafanikio yapo na makubwa sana maana tushalishuhudia hilo
 
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Ata wale waliopita walituaminisha kuwa wanatufanyia mambo ya heri, wakatuomba sana tuwaunge mkono.
 
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Huyo mzalendo wako si ndiye aliyesimamia uuzwaji wa nyumba za serikali? Ama kweli Watanzania ni mazoba
 
Na wa sasa; ipo siku wataulizwa matumizi mabaya ya fedha za umma, hasa la kununua wabunge na madiwani wa wapinzani na kuitisha uchaguzi upya kwa gharama kubwa.
Mkuu swala la kununua wabunge na madiwani hizo ni porojo tu na umbea hebu achana nao, swala la kuitisha uchaguzi mpya sio swala la Rais ni swala la kisheria sheria ya uchaguzi ndio inayotoa hilo takwa pindi nafasi ya ubunge au udiwani inapokuwa wazi na kazi ya kuitisha na kusimamia uchaguzi ipo chini ya tume ya uchaguzi ya Tanzania na sio Rais tujaribu kuelewa tusiwe tunaongea tu kupotosha ingali ukweli tunaufaham
 
Huyo mzalendo wako si ndiye aliyesimamia uuzwaji wa nyumba za serikali? Ama kweli Watanzania ni mazoba
Unaposema kusimamia unamaanisha nini, yeye alitimiza agizo la boss wake wa kipindi hicho ambae alikua na Sera ya ubinafisishaji hakua na mamlaka yoyote ile ya kukataa. Hivi ni kweli hukielewi kitu kama hicho?
 
Aanzishe chama kingine tumwone ni Mzalendo wa kweli asiyebebana hao wenye tamaa
Hana uzalendo hata chembe Na wote ni wezi tuuu,huku anawaambia napiga zumari wake wapi he kelele tumuongezee umri wa kutukanyaga Sbb ikiwa kukwepa gharama za uchaguzi.................Leo anatuingiza ktk gharama hizo hizo kwa nguvu,tena mara mbili ,kununua Na kurudia .Hana uzalendo
 
Ata wale waliopita walituaminisha kuwa wanatufanyia mambo ya heri, wakatuomba sana tuwaunge mkono.
Kwahiyo mkuu kwako ujenzi wa viwanda sio jambo la kheri? Kuondoa watumishi hewa na wanafunzi hewa sio jambo la kheri? Watoto wetu kusoma bure sio jambo la kheri? Watu kulipa kodi n. k sio mambo ya kheri kwako? Ama kweli binadam tunamatatizo
 
Unaposema kusimamia unamaanisha nini, yeye alitimiza agizo la boss wake wa kipindi hicho ambae alikua na Sera ya ubinafisishaji hakua na mamlaka yoyote ile ya kukataa. Hivi ni kweli hukielewi kitu kama hicho?
Na ununuzi wa boti ambayo haikuwa na viwango?!

What about ujenzi wa international airport sehemu ambayo akili ya kawaida haishawishi kwamba uwanja unaweza kuwa commercially viable?

And, hivi huoni ukakasi kusikia nchi inanunua ndege bila kufahamu tenda zilitangwazwa wapi au kwa mfumo upi?!

NOTE: It's a matter of time... uzuri wa Mkwere serikali yake ilikuwa very open na hivyo madudu yake yaliweza kuonekana mapema!!!

Sasa subiri "mzalendo" atakavyotoka madarakani uone lundo la madudu ambayo kwa sasa hayawezi kuonekana kutokana na uminywaji wa mihimili mingine manake hivi sasa hata zile Ripoti za CAG zijawahi kuziona tangia "Mzalendo" aingie madarakani!!!
 
Unashangaa ! ??
Hujawahi kusikia watu wanaacha 'wanajiuzulu' kazi zenye majukumu ya kuwakilisha wananchi (madiwani na wabunge) kisha wanahama kutoka vyama vyao vya kisiasa na kuhamia Chama pendwa ili kumuunga mkono Mh. Rais ?
 
mkuu swala la kiwanja

Unataka nae ahame akamuunge mkono mbowe? Yeye hawezi hama wala kwenda kuanzisha chama kipya maana huko tu aliko sasahivi mambo yako super to the extent watu wanahama vyama vyao na kujoin chama chake kuunga mkono juhudi na moto aliouwasha
 
mkwemwema said:
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono

Mbowe ni Rais wa nchi gani?
Kama ni Tanzania ni wa awamu ipi?
Unapozungumzia Marais wa Tanzania unathubutu kumtaja Mbowe !?
 
Anatupoteza,yeye akishastaafu ataenda kuishi Rwanda.atuachie Nchi ikiwa imeoza kiuchumi.
 
Acha kupotosha maana ya neno mzalendo wewe! Mzalendo haibii Taifa lake, mzalendo hana chuki za kutisha na wala kutumia vitisho dhidi ya raia wenzie. Mzalendo hadharau katiba Bunge mahakama na sheria za nchi. Mzalendo hajichotii trillions hazina kama vile ni pesa zake bila idhini ya Bunge.

Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
 
We gamba unajua maana ya uzalendo au unaandika ilimradi tu uandike ili kesho ukachkue buku saba yko

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…