kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Hawa ndio waongo na wamejaa sifa zote! sifa yao ni kutaka kupendwa na nyingine ni walaghai, wakisema kitu kumbe kinyume chake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wa sasa; ipo siku wataulizwa matumizi mabaya ya fedha za umma, hasa la kununua wabunge na madiwani wa wapinzani na kuitisha uchaguzi upya kwa gharama kubwa.Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Boss kumbe uzalendo wake ni hadi aanzishe chama? Watu wente tamaa wako popote pale Duniani hata akianzisha chama kipya bado watu kama hao watajitokeza tu hata kama sio kwa kipindi hicho ila hata pale muda wake utakapokwisha hivyo basi wacha apambana kitika hiki chama chetu pendwa tu na nakuhakikishia mafanikio yapo na makubwa sana maana tushalishuhudia hiloAanzishe chama kingine tumwone ni Mzalendo wa kweli asiyebebana hao wenye tamaa
Ata wale waliopita walituaminisha kuwa wanatufanyia mambo ya heri, wakatuomba sana tuwaunge mkono.Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Huyo mzalendo wako si ndiye aliyesimamia uuzwaji wa nyumba za serikali? Ama kweli Watanzania ni mazobaKila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Mkuu swala la kununua wabunge na madiwani hizo ni porojo tu na umbea hebu achana nao, swala la kuitisha uchaguzi mpya sio swala la Rais ni swala la kisheria sheria ya uchaguzi ndio inayotoa hilo takwa pindi nafasi ya ubunge au udiwani inapokuwa wazi na kazi ya kuitisha na kusimamia uchaguzi ipo chini ya tume ya uchaguzi ya Tanzania na sio Rais tujaribu kuelewa tusiwe tunaongea tu kupotosha ingali ukweli tunaufahamNa wa sasa; ipo siku wataulizwa matumizi mabaya ya fedha za umma, hasa la kununua wabunge na madiwani wa wapinzani na kuitisha uchaguzi upya kwa gharama kubwa.
Unaposema kusimamia unamaanisha nini, yeye alitimiza agizo la boss wake wa kipindi hicho ambae alikua na Sera ya ubinafisishaji hakua na mamlaka yoyote ile ya kukataa. Hivi ni kweli hukielewi kitu kama hicho?Huyo mzalendo wako si ndiye aliyesimamia uuzwaji wa nyumba za serikali? Ama kweli Watanzania ni mazoba
Hana uzalendo hata chembe Na wote ni wezi tuuu,huku anawaambia napiga zumari wake wapi he kelele tumuongezee umri wa kutukanyaga Sbb ikiwa kukwepa gharama za uchaguzi.................Leo anatuingiza ktk gharama hizo hizo kwa nguvu,tena mara mbili ,kununua Na kurudia .Hana uzalendoAanzishe chama kingine tumwone ni Mzalendo wa kweli asiyebebana hao wenye tamaa
Kwahiyo mkuu kwako ujenzi wa viwanda sio jambo la kheri? Kuondoa watumishi hewa na wanafunzi hewa sio jambo la kheri? Watoto wetu kusoma bure sio jambo la kheri? Watu kulipa kodi n. k sio mambo ya kheri kwako? Ama kweli binadam tunamatatizoAta wale waliopita walituaminisha kuwa wanatufanyia mambo ya heri, wakatuomba sana tuwaunge mkono.
Na ununuzi wa boti ambayo haikuwa na viwango?!Unaposema kusimamia unamaanisha nini, yeye alitimiza agizo la boss wake wa kipindi hicho ambae alikua na Sera ya ubinafisishaji hakua na mamlaka yoyote ile ya kukataa. Hivi ni kweli hukielewi kitu kama hicho?
Boss kumbe uzalendo wake ni hadi aanzishe chama? Watu wente tamaa wako popote pale Duniani hata akianzisha chama kipya bado watu kama hao watajitokeza tu hata kama sio kwa kipindi hicho ila hata pale muda wake utakapokwisha hivyo basi wacha apambana kitika hiki chama chetu pendwa tu na nakuhakikishia mafanikio yapo na makubwa sana maana tushalishuhudia hilo
Unataka nae ahame akamuunge mkono mbowe? Yeye hawezi hama wala kwenda kuanzisha chama kipya maana huko tu aliko sasahivi mambo yako super to the extent watu wanahama vyama vyao na kujoin chama chake kuunga mkono juhudi na moto aliouwashaUnashangaa ! ??
Hujawahi kusikia watu wanaacha 'wanajiuzulu' kazi zenye majukumu ya kuwakilisha wananchi (madiwani na wabunge) kisha wanahama kutoka vyama vyao vya kisiasa na kuhamia Chama pendwa ili kumuunga mkono Mh. Rais ?
mkuu swala la kiwanja
Unataka nae ahame akamuunge mkono mbowe? Yeye hawezi hama wala kwenda kuanzisha chama kipya maana huko tu aliko sasahivi mambo yako super to the extent watu wanahama vyama vyao na kujoin chama chake kuunga mkono juhudi na moto aliouwasha
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
We gamba unajua maana ya uzalendo au unaandika ilimradi tu uandike ili kesho ukachkue buku saba ykomkwemwema said: ↑
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
Mbowe ni Rais wa nchi gani?
Kama ni Tanzania ni wa awamu ipi?
Unapozungumzia Marais wa Tanzania unathubutu kumtaja Mbowe !?