Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe unampenda sanaaaaaa. Inaonyesha tayari 2020 umepigia kura. Good move...
Namchukia sanaRais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
 
Mimi nahisi tatizo sio makufuli bali Mungu kaamua kutuadhibu watanzania inabidi tujinyenyekeze kwake kuomba toba ili atuondolee hili pigo vinginevyo tutaangamia kwa njaa magonjwa risasi kutoswa habarini tumefungwa kamba zenye mawe mazito sumu vipigo nk nk.

Huyu ni wakala tu lakini yupo mhusika mkuu awezaye kusema yatosha na yakakoma mara.
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Wewe mnyarandwa utampendaje Mtanzania

Ameanza kuwanyoa kimyakimya mnaanza kumchukia ,
 
Capture.PNG
HADI MWANA UME TATA JAMES DELICIOUS AMEKUJA JUU,MTEKENI BASI MKALE TOPE MAANA NI STAREHE YAKE
 
We are done. Things are getting worst day after day. Rip democracy. Rip Tanzania
 
Mimi siongelei mambo ya magazetini naongea watu ninaoishi nao kitaa wale walikua wakigawa pesa za ngada kama sadakalawe kitaani tunawajua saivi ndio wanachukia Magufuli kupita maelezo huko mitaani na wamekua makamanda wakakamavu wa chadomo ghafla Hehehe yaani ukiwaona unabakia kucheka namna wanavyomchukia makonda na Magufuli
Ina uhusiano gani na magu kuwa dikteta!!
 
Kama hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe, then usimchukie hivyo ndugu yako!.
Damu nzito kuliko maji!.

P
Mkuu pascal, kwanza kabisa na mimi niweke wazi sifurahishwi jinsi huyu mtu anavyo chezea nchi yetu!!

Lakini je, hizi chuki unadhani zimetokea wapi? maana sio tu mleta mada ana chuki nae...kuna watu kibao mtaani wamejeruhiwa na sera zake mbovu!!

Je hii chuki haiwezi tumiwa na nchi maadui kuwatumia hawa watu kudhuru nchi yetu?

Je mtu kama huyu akiambiwa tunaweza mtoa magu kama ukifanya a,b,c unadhan atashindwa shawishika?

Au mtu kama huyu akiambiwa tupe data za kitengo fulani alafu tukulipe unadhani atashindwa shawishika??

Je unadhani hizi chuki zilizopandikizwa mioyoni mwa watanzania hasa vijana chanzo chake ni nini?

Je unadhan wale ndugu ambao binti yao alipigwa risasi watakua hawana chuki na jeshi la polisi na serikali kwa ujumla?
 
Sio kweli, watu wengi wametulia tu wanaumia lkn wanashindwa waseme nini,ukitaka kuproove hilo chunguza huu Uchaguzi mdogo, utagundua kitu .
Samahani sana mkuu, intention yangu ilikuwa kuandika "you are not alone" daah nimeumia sana kupotosha umma wa jf. Nimeshaedit mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom