Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiye anaeongoza kwa uchawi nchi hii, hili zigo la msumari tulilotwishwa tutafika lakini tutakoma awamu hii.Nachojua hatoishi milele...... nafurahi pia kujua hatowahi kanyaga mbinguni na mahirizi yake
mbowe anaingiaje hapo kwenye siasa hizi za awamu ya 5?Kosa la upinzani ni kucheza muziki wa CCM. Leta safu mpya za uongozi, zama za Mbowe zimefika ukomo, upinzani wa Leo ili ukuwe unahitaji mawazo makubwa Na uthubutu mkubwa kuliko alionao Mbowe.
Ni wakati wa wapinzani kuwafikiria umma badala ya matumbo yao
Kama hajiheshimu Nani atamuheshimu?JamiiForums Maxence Melo Paw Post za Kipuuzi kama hivi ndo zinawaingiza Matatizoni Rais Magufuli anapaswa Kuheshimiwa.
Na wewe waheshimu wachaga Ni watanzania pia usingeandika fyongo pia huyo asiyeweza kudeliver tungemsitahiJamiiForums Maxence Melo Paw Post za Kipuuzi kama hivi ndo zinawaingiza Matatizoni Rais Magufuli anapaswa Kuheshimiwa.
Tulia weweeMbowe ndiye aliyeharibu upinzani wa kweli kwa kubadili gia angani, kisha vibaraka wake kina lissu wakafuata. Ni lazima upinzani huu watanzania tuukomeshe na utokomee kama tufamyavyo sasa. 42-1, utokomee kwa njia yoyote ile kwa faida ya taifa hili.
Mbowe ndiye aliyeharibu upinzani wa kweli kwa kubadili gia angani, kisha vibaraka wake kina lissu wakafuata. Ni lazima upinzani huu watanzania tuukomeshe na utokomee kama tufamyavyo sasa. 42-1, utokomee kwa njia yoyote ile kwa faida ya taifa hili.
Mi nipo tayari kujilipua na mkulu niende nae mbele za haki, MBOWE tafuta zana usiwe mnyonge, iwe fundisho na historia.
Hayo yote yanahusiana vipi Na siasa zachuki? Tena chuki ya wazi.... Kwanini asifanye demokrasia huru lakini sheria isimamiwe? Watu wanachochukia nikumimnywa kwa demokrasia...Kuchukiwa ni jambo la kawaida, hata Yesu alichukiwa, alipigwa, aliuawa na wanadamu - sasa rais JPM vyovyote vile lzm baadhi ya watanzania wamchukie sbb amewashika pabaya:-
1. Fikiri jinsi BANDARI ilivyokuwa chochote ya kuiba kodi za serikali,
2. Fikiri jinsi watumishi wa umma walivyokuwa wanaenda kupumzika London weekend,
3. Fikiri jinsi wenye fedha walivyopoka viwanja, viwanda na ardhi za wanyonge,
4. Fikiri jinsi mikataba ya uchimbaji madini ilivyokuwa mibovu, nk nk nk
Sasa:-
Kama wewe ulikuwa unanufaika kwa namna yoyote ile na fedha zitokanazo na wizi huu lzm umulaumu JPM.
kesho akitubu, utampenda ...?Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.
Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.
Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!
Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
dhambi ya ubaguzi inaitafuna ccm kwani wachaga sio watuWe ni nani? Katika watanzania 44million tukiondoa baadhi ya Wachaga?
kwani wewe anakujua?Kwani unafikiri unakujua?
Tulia wewee. Yani kabisa unaridhika jamaa anavyoididimiza nchi yetu? Rebeca 83 kabisa kukuambia anampenda jamaa lakini siku zinavyozidi kwenda anakuwa dissapointed naye Na Akina Rebecca Ni wengi. Jiulize wangapi walishamuona mkombozi mwanzoni was utawala wake alipokuwa anatembelea mahosHina namna, miaka nane ya ma**ko ndio, utaikubali tu. Hutaki nenda kwa wala ma**ko wa mombasa.
Hata Mimi namchukia,, Tena kupita maelezoWe ni nani? Katika watanzania 44million tukiondoa baadhi ya Wachaga?