Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Namchukia sanaRais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
Tupo sawa dadapole mkuu,mie nilikua nampenda Magufuli,ila siku zinavyoenda nakua disappointed na anavyoiendesha Tanzania yetu
Wew mwanamke acha uchawi hautakufikisha kokoteWe ni nani? Katika watanzania 44million tukiondoa baadhi ya Wachaga?
Aheshimiwe wakati hajieshimu?? Tell him he can go to hell!!JamiiForums Maxence Melo Paw Post za Kipuuzi kama hivi ndo zinawaingiza Matatizoni Rais Magufuli anapaswa Kuheshimiwa.
Wewe mnyarandwa utampendaje MtanzaniaNamchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.
Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.
Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!
Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Don't hate another human being like that,Ha ha ha..... I hate him seriously
Alafu uchagan ndipo uliposoma... Kama sio uchagan wewe hata usingekua na hako ka techno kako moron wewe...Ndo mashabiki wa Chadomo
Mkuu P unanilisha maneno. Sijamtakia baya lolote mkuu wangu atiDon't hate another human being like that,
Wenzako wanampenda balaa!. Namjua mdada mmoja mrembo, amependa hadi ku sacrifice ndoa!.
Ombi langu kwako ni moja tuu, yes you can hate him but please don't be a prophet of the doom
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
Ina uhusiano gani na magu kuwa dikteta!!Mimi siongelei mambo ya magazetini naongea watu ninaoishi nao kitaa wale walikua wakigawa pesa za ngada kama sadakalawe kitaani tunawajua saivi ndio wanachukia Magufuli kupita maelezo huko mitaani na wamekua makamanda wakakamavu wa chadomo ghafla Hehehe yaani ukiwaona unabakia kucheka namna wanavyomchukia makonda na Magufuli
Kila anayewapinga either mumbambikizie kodi au mumuite sio raia!! haya yana mwisho....Wewe mnyarandwa utampendaje Mtanzania
Ameanza kuwanyoa kimyakimya mnaanza kumchukia ,
Mkuu pascal, kwanza kabisa na mimi niweke wazi sifurahishwi jinsi huyu mtu anavyo chezea nchi yetu!!Kama hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe, then usimchukie hivyo ndugu yako!.
Damu nzito kuliko maji!.
P
Samahani sana mkuu, intention yangu ilikuwa kuandika "you are not alone" daah nimeumia sana kupotosha umma wa jf. Nimeshaedit mkuuSio kweli, watu wengi wametulia tu wanaumia lkn wanashindwa waseme nini,ukitaka kuproove hilo chunguza huu Uchaguzi mdogo, utagundua kitu .