Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Binti huu muda wa kumpikia mmeo ujue!
 
Kama hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe, then usimchukie hivyo ndugu yako!.
Damu nzito kuliko maji!.

P
Mkuu nawe unajua kuchunguza? Kale kaugonjwa kako ka vitu kama hivyo nilidhani kalipona kumbe kalitulia tuu baada ya yule aliyekuwa anakuacha hoi kupewa NW! Au ulifanikiwa ndio maana ukawa kimya?
Kwenye hilo ngosha's huwa hamna utani!
Na kuna mtu ndani ya ten kama ataimaliza atawabanjua kwelikweli!
 
Unajuwa huwa najiuliza sana, hivi nchi hii ikiingia vitani sasa hivi kama ile vita ya Kagera itakuwaje maana uzalendo umepotea umebaki huu wa kina Steve nyerere na kina Kajala.
Wale waliokuwepo miaka ile wataelewa namaanisha nini kwa uzalendo wa kila MTU wakati wa vita ile ulionekana.
Na kilichomfanya Amin apigwe ni watu wake kuwa kama hawa waliopo sasa hivi hapa kwetu, kuichukia serikali na utawala
 
Ni kweli mkuu!! Kazi ipo!!
 
Wanaharakati, nchi wahisani, Viongozi wa dini AMKENI, Tanzania inaangukia SHIMONI
 
Utawala huu wa awamu ya 5 chini ya Magufuli umekua na matukio mengi ya kinyama watu wanauliwa wengine kwa mapanga kama nyama ya ng'ombe bucha

Magufuli wewe ulikua mbunge tu wa Chato na ukachaguliwa kwa bahati mbaya kuwa rais wa Nchi hii ndo maana ukasema utamlinda Kikwete na Benja wasiguswe

Unafanya mambo ya ovyo ,Nchi hii sio Mali yako tangu umeingia wewe kila kitu cha Nchi hii kimekwenda shanghalabaghala

Watu wanauliwa ovyo

Ajira umesitisha kwa vijana hasa walimu wa arts

Watu wanapigwa risasi ovyo

Nchi imekua haieleweki hadi tunahisi tupo Rwanda au Burundi

Magufuli achia Nchi uongozi huuwezi mzee acha kumuiga huyu jamaa yako Kagame usituharibie Nchi yetu kwa upuuzi wa katiba inayokupa mamlaka ya kufanya mambo ya ovyo
 
Siku nikisikia Bendera nusu mlingoti,sitalia nitamtupa kagera nae awechakula cha mamba.
 
Hivi unawezaje mkubali JPM huku umevaa hirizi kiunoni??
Haiwezekani.
 
Sikuja Ikulu kuuza sura,ata usiponipenda mke wangu ananipenda inatosha.Hivi eti we braza unapajua Coco Beach?
 
Wakati mauaji ya kikatili kwa walemavu wenye albinism na wengine kukatwa mikono tena watoto wadogo malaika wale wewe ulikuwa kuzimu sio..uongozi wakati huo ulikuwa poa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…