Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake...kweli.
..sasa bwana mkubwa aliyeshika mpini anatakiwa awe na busara ktk kauli na mienendo yake ili asiumize wengi walioshika makali.
JPM kajifunza mengi kupitia upole wa JK na hasara zake kwenye uongozi wake. Ni mwendo wa mpelampela tu, kama asemavyo mwenyewe hakuna muda wa kudekezana.