Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
..kweli.

..sasa bwana mkubwa aliyeshika mpini anatakiwa awe na busara ktk kauli na mienendo yake ili asiumize wengi walioshika makali.
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake.

JPM kajifunza mengi kupitia upole wa JK na hasara zake kwenye uongozi wake. Ni mwendo wa mpelampela tu, kama asemavyo mwenyewe hakuna muda wa kudekezana.
 
..naheshimu mawazo yako.

..lakini natofautiana na wewe kidogo.

..JK alidharauliwa kwa kulea mafisadi.

..JK hakudharauliwa kwa kutunza amani ya Tz, kuilea demokrasia yetu ya vyama vingi, na uhuru wa kutoa maoni.

..Ni bahati mbaya sana kwamba wanaoteswa na kubugudhiwa leo hii ni wale waliosafisha njia ya JPM kuwa Raisi.

..Wapinzani wasingepigia kelele ufisadi na hujuma zilizokuwa zikiendelea wakati wa awamu ya JK, wapiga kura wasingepata muamko wa kuchagua Raisi ambaye waliamini atapiga vita ufisadi na uhujumu.

..Kiongozi anayeamini kwamba ili aheshimiwe anapaswa kuwakandamiza na hata kuwadhuru wapinzani wake bila kujali kwamba kufanya hivyo kunaweza kulisambaratisha taifa ni mtu aliyepotoka.
 
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake.

JPM kajifunza mengi kupitia upole wa JK na hasara zake kwenye uongozi wake. Ni mwendo wa mpelampela tu, kama asemavyo mwenyewe hakuna muda wa kudekezana.

Kwani unadhani kati ya JK na JPM nani anadharaulika zaidi?
 
Habari?

Siku hizi kumekuwa na majanga mengi sana kwenye nchi yetu. Si usiku wala mchana. Muda wote watu tuna wasiwasi. Tunaishi kama vile hatuna ulinzi tena kwa kodi zetu.
Swala la kufa na kupotea imekuwa kawaida sana. Mtu akiongea kidogo sasa tunategemea siku yoyote atapotea. Tumeona watu wengi wakiuawa na kupotea. Thamani ya binadamu haipo tena kwa maana hata kuku akipotea nyumbani tunamtafuta mpaka tujue kama kaliwa na vibaka wazoefu au amelala nyumba nyingine.
Wapi ni mahali salama kwa watanzania?
Wapi tutaweza kufungua midomo yetu na kuongea makwazo yetu?
Bila watanzania kuna Tanzania?
Kama viongozi wetu hamfahamu hayo, sisi wananchi wa hali ya chini tuwe katika hali gani?
Ni kweli majeshi yetu hayana sifa hata kushindwa kujua Azory wa Mwananchi yuko wapi? Au Ben Saanane? Vifo vya watu wengi wanaokutwa wamekufa hao wauaji mbona hawapatikani?
Watanzania tunachoka kuishi kwa uoga na hali ya aina hii. Tumezoea amani na ndio tunayoitaka.
 
NEVER SAY GOODBYE IF YOU STILL WANT TO STAY

saini yako tu.
 
Kwani unadhani kati ya JK na JPM nani anadharaulika zaidi?
Kudharaulika sio issue muhimu, kuwa mkweli kwa unaowaongoza ni muhimu sana, kuondoa mbwembwe za kimjini ni muhimu sana.

Kutojaribu kumfurahisha kila unayekutana nae njiani ni muhimu sana. Kumthamini mwananchi wa kawaida kwa kuondoa itifaki zisizo na maana ni jambo la maana sana.
 
Anasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
 
Duh
!!!! naona ataanza nakufunga mitandao ya kijamii....kwahiyo tuombe aishii maisha marefu ili tuendelee na JF yetu kwa mda kdgo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Anasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika – Millardayo.com
 
Anasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
Haahhaa bora atangulie tu hana maana yoyote
 
Mengine myaache mtakufa kabla siku zenu, hiyo misemo haina dedication yoyote kiutawala au sheria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom