Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake...kweli.
..sasa bwana mkubwa aliyeshika mpini anatakiwa awe na busara ktk kauli na mienendo yake ili asiumize wengi walioshika makali.
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake.
JPM kajifunza mengi kupitia upole wa JK na hasara zake kwenye uongozi wake. Ni mwendo wa mpelampela tu, kama asemavyo mwenyewe hakuna muda wa kudekezana.
Pole!! Kuna kitu naweza semaa!! Kitatimia but naogopa.....
Ref:ID yangu
Ukali na upole wa JK haukumsaidia zaidi ya kuishia kudharauliwa na hao aliowaonyesha uungwana wake.
JPM kajifunza mengi kupitia upole wa JK na hasara zake kwenye uongozi wake. Ni mwendo wa mpelampela tu, kama asemavyo mwenyewe hakuna muda wa kudekezana.
Kudharaulika sio issue muhimu, kuwa mkweli kwa unaowaongoza ni muhimu sana, kuondoa mbwembwe za kimjini ni muhimu sana.Kwani unadhani kati ya JK na JPM nani anadharaulika zaidi?
Mpaka sasa sina uhakika na imani yake kwa Mungu.Hii ni kufuru kubwa sana na dhihaka kwa Mungu
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi AfrikaAnasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
Haahhaa bora atangulie tu hana maana yoyoteAnasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
Basi tuacheni tusemeMengine myaache mtakufa kabla siku zenu, hiyo misemo haina dedication yoyote kiutawala au sheria