Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
ukweli ni kwamba, ni kosa kubwa kubishana na viongozi wa dini. kiroho hawa ni watu waliojitoa kuongoza wengi kuufikia utakatifu. wana thawabu zao kwa Mungu. Najua wana madhaifu yao kama binadam. ila ni wapakwa mafuta wa bwana. T
angu kale viongozi wa dini wakimuonya mtawala akishupaza shingo wao hukaa kimya na Mungu huchukua nafasi yake. it doesnt matter how long will it take for you to face the consequence. Epuka sana kushindana na watumish wa Mungu ita ku cost wewe kama wewe. Mfalme wa wayahudi ASA aliposhupaza shingo dhidi ya ujumbe wa mtumish wa Mungu ili aenende kwa haki yaliyo mpata yameandikwa. na wafalme wengine wengi walio pinga maonyo yaliyo wapata yamewekwa wazi.
President anatakiwa aangalie, hawa watu wanamuonya dhidi ya mauaji, unyanyasaji watu, utekaji unaoendelea nchini. Hivi haogopi kuona hili ni kinyume na matakwa ya Mungu? . hivi kweli tunawakejeli watumishi wa Mungu kwa kupigania uhai wa watu ulindwe? Mungu hatoshuka akemee mwenyewe uovu unao endelea inchini. Atatumia watumishi wake. kuwakejeli watumish wa Mungu ni kumkejeli yeye. angalieni hapa duniani tunapita. Pita ukiwa umetenda mema.
 
SIPANGIWI, MIMI NI JIWE
 
Anatuachaje?

Jibu:
Atatuacha na vitu vya kufurahisa fahari ya macho lakini tukiwa na fedheha matumboni huku tukikabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na kijamii kwa ujumla.

Anachokifanya bwana mkubwa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa ambae mwisho wa siku ni lazima ataanguka tu.

Ni swala la muda tu.
 
bora kuliko waliotuacha bila hata hicho cha kufurahisha macho maana matumbo yalijazwa na rushwa na ufisadi huku masikini tukifa kidubu
 

Afadhali safari hii umekuwa mkweli, kumbe kelele zako zote unataka kujaza tumbo? Maneno yako mwenyewe - kwenye red. Mungu hamfichi mnafiki!
 
huyo bwana hawezi kutuacha ni kama swahiba yake mr slim na mzee 7 time will tell
 
kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Hakuna shaka ana nia nzuri. Arekebishe mambo kidogo tu kuhusu kutoa uwanja kwa vyama vya siasa kufanya shughuli zao na akubali kukosolewa. Otherwise yuko vizuri
 
Kwa matukio haya

Kupotea kwa
1.ben saanane
2.Azory Gwanda
3.Lisu kupigwa risasi
4.Nape kutishiwa bastola
5.miili ya watu kuokotwa ufukweni mwa bahari
6.Ansbert Ngurumo kuomba hifadhi nje
7.viongozi wa upinzani kuwekwa ndani
8.Abdul nondo kutekwa
9.Akwilina kupigwa risasi
10.watu kufunguliwa kesi za uchochzi
11.biashara nyingi kufungwa
12.kuminywa kwa democracy na uhuru wa kujieleza
13.utitiri wa kodi usiondana na hali halisi ya biashara
14.Watu kufukuzwa kazi kiholela
15.Manunuzi yasiyofuata utaratibu za manunuzi
16.Kuzorota kwa hali ya elimu nchini
17.Watanzania kuishi kwa vitisho
18.Kukosekana kwa ajira kwa wanafunzi wengi wanaohitimu vyuo
19.Polis kubambikizia raia kesi
20.Kejeli dhidi ya viongozi wa dini
21.kuvunjwa kwa katiba na kukosekana kwa utawala wa sheria na mengine mengi
JE NI NANI ALIYE SALAMA?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…