kiparangwaya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 528
- 502
Unataka unabii upi utimie ndo utaelewa?Mtakufa na presha za kutafuta wenyewe, huo unabii wenu hautimiagi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka unabii upi utimie ndo utaelewa?Mtakufa na presha za kutafuta wenyewe, huo unabii wenu hautimiagi tu?
Kwani kuna unabii gani umeshatimia?Unataka unabii upi utimie ndo utaelewa?
Unamacho huoni, unamasikio husikii na unaakili huitumii! Kalaga baho na Lumumba yako!Kwani kuna unabii gani umeshatimia?
SIPANGIWI, MIMI NI JIWEukweli ni kwamba, ni kosa kubwa kubishana na viongozi wa dini. kiroho hawa ni watu waliojitoa kuongoza wengi kuufikia utakatifu. wana thawabu zao kwa Mungu. Najua wana madhaifu yao kama binadam. ila ni wapakwa mafuta wa bwana. T
angu kale viongozi wa dini wakimuonya mtawala akishupaza shingo wao hukaa kimya na Mungu huchukua nafasi yake. it doesnt matter how long will it take for you to face the consequence. Epuka sana kushindana na watumish wa Mungu ita ku cost wewe kama wewe. Mfalme wa wayahudi ASA aliposhupaza shingo dhidi ya ujumbe wa mtumish wa Mungu ili aenende kwa haki yaliyo mpata yameandikwa. na wafalme wengine wengi walio pinga maonyo yaliyo wapata yamewekwa wazi.
President anatakiwa aangalie, hawa watu wanamuonya dhidi ya mauaji, unyanyasaji watu, utekaji unaoendelea nchini. Hivi haogopi kuona hili ni kinyume na matakwa ya Mungu? . hivi kweli tunawakejeli watumishi wa Mungu kwa kupigania uhai wa watu ulindwe? Mungu hatoshuka akemee mwenyewe uovu unao endelea inchini. Atatumia watumishi wake. kuwakejeli watumish wa Mungu ni kumkejeli yeye. angalieni hapa duniani tunapita. Pita ukiwa umetenda mema.
Anatuachaje?
Jibu:
Atatuacha na vitu vya kufurahisa fahari ya macho lakini tukiwa na fedheha matumboni huku tukikabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na kijamii kwa ujumla.
Anachokifanya bwana mkubwa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa ambae mwisho wa siku ni lazima ataanguka tu.
Ni swala la muda tu.
Saizi masikini una nafasi gani?bora kuliko waliotuacha bila hata hicho cha kufurahisha macho maana matumbo yalijazwa na rushwa na ufisadi huku masikini tukifa kidubu
Afadhali safari hii umekuwa mkweli, kumbe kelele zako zote unataka kujaza tumbo? Maneno yako mwenyewe - kwenye red. Mungu hamfichi mnafiki!
hata hicho anachofanya tunapata fursa humo!Saizi masikini una nafasi gani?
Hakuna shaka ana nia nzuri. Arekebishe mambo kidogo tu kuhusu kutoa uwanja kwa vyama vya siasa kufanya shughuli zao na akubali kukosolewa. Otherwise yuko vizurikama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Kwasasa bado. Ila haya anayoyafanya saiz, ni manufaa ya baadae. Maana anaandaa njiahata hicho anachofanya tunapata fursa humo!