Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Naomba kujua kuhusu kinana wanajamvi sikuwepo ktk jukwaa mda mrefu
 
Aha ha! we mwigulu we we, pole sana kumbuka nawe ulivyowatendea wapinzani
 
Anawatesa namna gani? Nimesoma maelezo yako yote sijaona ulipoandika anawatesa namna gani. Au ni kati ya wale waliokuwa wamezoea vya kunyonga sasa wamevikosa?
 
Tuendlee kunyooshwa, mim naamini 2020 anachaguliwa tena[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Hata push-ups ulipiga kama ishara ya kumwunga mkono!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…