Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Bavicha mna akili za kinungunungu sana, chama chenu kinakufa kutwa kucha mnazungumzia CCM. Sijaona bavicha yeyote humu kaanzisha thread ya kujadili mikakati ya namna ya kunusuru chama kwenye mporomoko
 
Tangu wameanza kujiuzulu CHADEMA imetetereka?
Inahitaji mtu mwenye upungufu wa akili kutojua kuwa toka tangu waanze kujiudhuru Chadema haijatetereka, wabunge na madiwani wote hao waondoke alafu chama kisitetereke?
 
Bavicha mna akili za kinungunungu sana, chama chenu kinakufa kutwa kucha mnazungumzia CCM. Sijaona bavicha yeyote humu kaanzisha thread ya kujadili mikakati ya namna ya kunusuru chama kwenye mporomoko
Hoja ya msingi tu kwenu nyie wenye akili,serikali ya ccm inajinadi kwakubana matuzi wakati huohuo inavuruga pesa za walipa kodi katika chaguzi za marudio kwa wanachama ilio wahonga kutoka upande wapili
 
Bavicha mna akili za kinungunungu sana, chama chenu kinakufa kutwa kucha mnazungumzia CCM. Sijaona bavicha yeyote humu kaanzisha thread ya kujadili mikakati ya namna ya kunusuru chama kwenye mporomoko
Inahitaji mtu mwenye upungufu wa akili kutojua kuwa toka tangu waanze kujiudhuru Chadema haijatetereka, wabunge na madiwani wote hao waondoke alafu chama kisitetereke?
Siku mkiimaza/mkiisambaratisha CHADEMA/upinzani unishtue niwatunuku taji la uchapakazi kwa kumshinda adui wenu
 
Kibaya si kuhama kwao, tatizo ni wamehamaje na kwa nini wamerudishwa kugombea ubunge huo huo walio ukataa?
Haya ni matumizi mabaya ya kodi za wavuja jasho kwa koti la Demokrasia ina gharama"
Mark my words, time will tell!!
Baada ya maelezo hayo, tupe sasa muhitasari wa namna gani Chadema mmefanikiwa kuwaletea maendeleo watanzania kupitia manispaa mnazoziongoza ama hata majimbo mnayoongoza!!
 
Wengi watahoji mbona lowassa alihama na akapewa ugombea?

Kwa mimi naona lowassa hakuacha nafasi za uongozi ambazo alikua anaendelea nazo ambazo zililitia hasara taifa hili kwa gharama za uchaguzi.

Nirudi kwenye mada, inatia hasira kuona watu waliomba nafasi ya uongozi wakapewa alafu wakaja wakaacha kwa hiari yao alafu tena wanakuja kugombea tena. Inauma sana kuliko hata vijipu uchungu
 
1) nchi ilikuwa imeoza

2) wapiga dili walikuwa wengi

3) msema kweli mpenzi wa Mungu

4maendeleo hayana chama

5) Mafisadi nitalala nao mbele

6)sipangiwi cha kufanya

7)Mimi ni yule wa wanyonge

8) wafanyakazi hewa walikuwa wengi

9)mniombee (haisikiki sana siku hizi)

Badilisha "CD".., hii wasikilizaji wameichoka siku nyingi.., kuna mengi sana wanauliza kutoka kwenye madirisha ya vyumba vyao (kwa sauti ndogo) tueleze kuhusu Ajira, kilimo, uchumi, elimu etc.
 
10) Hadi sasa bado hatujaweza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa.
 
Mmejaa uvyama Hakuna mnalowaza zaidi ya uccm na uchadema tu

Hivi mnazani wote ni wanachama wa ccm au chadema?

Mnatoka povu wakati mfukoni huna hata elfu 10,000
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…