Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Chama cha Mabwanyenye(Masultani)
Chama cha Maempty set.(Null set) a.k.a Zero brain
 
Mmejaa uvyama Hakuna mnalowaza zaidi ya uccm na uchadema tu

Hivi mnazani wote ni wanachama wa ccm au chadema?

Mnatoka povu wakati mfukoni huna hata elfu 10,000

Kama unazo niwewe, na usitusemee maana hutufaham

Bahati mbaya hukulazimishwa kuchangia
 
10.Maendeleo hayana vyama
11. Watumishi wa Umma ni ccm,
hakuna neutral hapa!
 
Malizia kabisa na mwaka wa 5 utafika na uchaguzi utafanyika tena na mleta mada atatandikwa tena na atalia kilio kilekile. Hapo baada ya tena kukaa mita 200 kulinda kura juani. Kweli, ni yale yale.......
 
Umekosa la kuandika humu unaandika upupwu kama vile hayo yote yanaweza kutendeka kwa masaa 24 tu.. kweli mumehishiwa

Unasikitisha hadi unalia ulipo.. endelea kuisoma namba
 
Malizia kabisa na mwaka wa 5 utafika na uchaguzi utafanyika tena na mleta mada atatandikwa tena na atalia kilio kilekile. Hapo baada ya tena kukaa mita 200 kulinda kura juani. Kweli, ni yale yale.......

Wewe unafaidika nini Ccm kuwa madarakani?
Uchumi wa hovyo
Elimu ya hovyo
Afya ya hovyo

Wote tunaishi maisha mamoja mitaani

Ugumu wangu wa maisha nawewe unao kama unaushi kwa ufisadi....ndugu zako wanapigika

Angalia makalio yako kabla hujafinger point ya mwenzako
 
Mmejaa uvyama Hakuna mnalowaza zaidi ya uccm na uchadema tu

Hivi mnazani wote ni wanachama wa ccm au chadema?

Mnatoka povu wakati mfukoni huna hata elfu 10,000
Ni kweli hana hata 10000 mfukoni ndo maana anaomba anadilishiwe santuli hii yenye nyimbo 9 inascratch!
 
Wa
Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..

Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland

Watanzania ni hodali sana kulaumu na kutotoa jambo ambalo litasaidia. Kitu ambacho ananifurahisha JPM ni kwamba, ameachana na mazoea, kuwa hakuna mtu anaweza kutabiri nini kitatokea kesho kama enzi za JK. Mtu unatakiwa kuwa tayari kwa lolote katika maisha, acheni kulia lia, hizi ni zama za 'adoptability according to the situation'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom