Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mheshimiwa Rais,

Mh. Rais, bila kupepesa macho wala mikono nathubutu kusema ya kwamba wewe ndiye Rais unayeweka historia ya "Rais kimeo kuwahi kutokea tangu tupate Uhuru" huna dira, huna lengo thabiti, huna maono, huna Utu, nakiri kuwa cheo cha urais kimepata m'bakaji (Nisamehe kwa lugha yangu kali).

__nakungoja mlangoni____

Mkuu kumbe tayari umeshafika uhamiaji, msubiri hapo hapo MLANGONI ahakikishe URAIA wako.

Ila kuna ukweli hapo 99.9%
 
kuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
 
Sawa mama Janeth
 
Ulifika China sehemu gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom