Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Rais,
Mh. Rais, bila kupepesa macho wala mikono nathubutu kusema ya kwamba wewe ndiye Rais unayeweka historia ya "Rais kimeo kuwahi kutokea tangu tupate Uhuru" huna dira, huna lengo thabiti, huna maono, huna Utu, nakiri kuwa cheo cha urais kimepata m'bakaji (Nisamehe kwa lugha yangu kali).
__nakungoja mlangoni____
Bora muendesha mkokoteni kuliko muendesha uharo!.Hana mipango amaendesha nchi kama mkokoteni wa punda.
Sawa mama Janethkuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
Hakika......Yote yana mwisho,, .
ahsante mkuuSawa mama Janeth
Ulifika China sehemu gani?kuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
Idiot! Aliyekwambia maoni ya mtu yanahusiana na political side yake ni nani?Bavicha wanapiga kazi sana hadi jumapili!
Hapo mbona na mm nimetoa maoni na nimesifia bavicha utendaji kazi wao! Tatizo nn bro?Idiot! Aliyekwambia maoni ya mtu yanahusiana na political side take ni nani?
Wake tu Mkuu nimejipanga kwa hojaSubiri mapovu mazito mazito kutokea watu wenye uono hafifu
Wee ni nyumbu tu...namtaka mfuga nyumbuZero brain at his best...Mwache JPM apige kazi kama vipi hama nchi
Na bado kuna watu wataupinga pasi na haya!Ujumbe wa maana sana kwa anayejiita mtetezi wa wanyonge!!!!