Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ok.(11) mimi ni jiwe
10) Hadi sasa bado hatujaweza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa.
Maana ndio wanakusanya kodi?10) Hadi sasa bado hatujaweza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa.
Bichwa chakavu kabisa wewe10) Hadi sasa bado hatujaweza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa.
10) Hadi sasa bado hatujaweza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa.
Ruzuku.Maana ndio wanakusanya kodi?
Hasira za nini sasa?Bichwa chakavu kabisa wewe
Hamna kitu hapo. Acha porojo zako.Wakati wenzako wanaongelea maendeleo yataifa unaleta .......
Tunamuongelea huyu aliyetawala Tanzania miaka zaidi ya 50......
Mesharudisha zile 1.5T zawatanzania?Ruzuku.
Anazitafuna Mbowe tu.Mesharudisha zile 1.5T zawatanzania?
Mmejaa uvyama Hakuna mnalowaza zaidi ya uccm na uchadema tu
Hivi mnazani wote ni wanachama wa ccm au chadema?
Mnatoka povu wakati mfukoni huna hata elfu 10,000
Hamna kitu hapo. Acha porojo zako.
Ok. Kwa hiyo?Unasifa zote za kuwa mwanaccm
Uwongo
Hujitambuwi
Mzushi
Kupinga nakuropoka bila hoja
Kusifia upuuzi hatakama mauwaji
-watu kibao wamepotezwa
Kusifia uchumi hewa
Nk
Malizia kabisa na mwaka wa 5 utafika na uchaguzi utafanyika tena na mleta mada atatandikwa tena na atalia kilio kilekile. Hapo baada ya tena kukaa mita 200 kulinda kura juani. Kweli, ni yale yale.......
Ni kweli hana hata 10000 mfukoni ndo maana anaomba anadilishiwe santuli hii yenye nyimbo 9 inascratch!Mmejaa uvyama Hakuna mnalowaza zaidi ya uccm na uchadema tu
Hivi mnazani wote ni wanachama wa ccm au chadema?
Mnatoka povu wakati mfukoni huna hata elfu 10,000
Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..
Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland