Kikwete mlimwita mcheka cheka hovyo Na dhaifu kawapeni asiyecheka Na strong.Mlichotaka mumepata sawa Sawa Na matamanio ya mioyo yenu
Na wewe ulimuita hivyo???Kikwete mlimwita mcheka cheka hovyo Na dhaifu kawapeni asiyecheka Na strong.Mlichotaka mumepata sawa Sawa Na matamanio ya mioyo yenu
Ccm ni nani mbele ya waTz 40Mhuko ni kuchanganyikiwa
huwajui ccm vizuri,na hili ni tatizo kuu la upinzani,kutaka huruma au msaada toka toka ccm!
kaa hapo hapo kwenye mode ya defiance,sie tunasonga mbeleCcm ni nani mbele ya waTz 40M
Fafanua hali mbaya kivipi?? Na ulitaka iweje ili uone hali nzuri? Isije ikawa wale wale wa SUA ya dodomaBila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanye mambo mkitizama kesho, vizazi vyenu vitaishije. sio kwa kuangalia leokaa hapo hapo kwenye mode ya defiance,sie tunasonga mbele
na ukiona mtu hadi sasa anataka afafanuliwe eti hali ngumu ilivyo kwa tanzania yaani hajui eti kama hali ni ngumu ama laaa! hakika mtu hiyo hana manufaa yeyote kwenye taifa hili ni sawa na kinyesi ingawa hata kinyesi kina faida kwa mimea nadhan ni zaid ya kinyesi.Fafanua hali mbaya kivipi?? Na ulitaka iweje ili uone hali nzuri? Isije ikawa wale wale wa SUA ya dodoma
acha uwongo hakuna mtu aliyemtaka"... wataka kuniammbia watanzania walimtaka kiongozi anayeiminya democracy" anayebariki mauaji(lisu)" na kupoteza watu kama ilivyo kwa ben saa8 na azoryTaifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaa juaanatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tushukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democrat ni jambo adimu na adhimu. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tuipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app