ccm inajulikana kwa wizi na utapeli ndio maana haijawahi shinda uchaguzi kwa haki. ccm ndicho chana kikuu kinacho ratibu mauaji, utekaji, rushwa na kila aina ya uovu nchi hiihuko ni kuchanganyikiwa
huwajui ccm vizuri,na hili ni tatizo kuu la upinzani,kutaka huruma au msaada toka toka ccm!
Kwa hiyo unataka ufisadi,kutengeneza vyeti bookshop,uonevu wa wananchi,shida ya umeme,shida ya maji,uzembe kazini nk.nk.nk.viendelee?Yaani unatamani chupa badala ya dhahabu! Kama zuzu vile.Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuelewa, wengi wao ni'vibajaji' na wavivu kifikra.Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya wanafunzi wa sua ya dodoma..mnapokea tu mapokeo ya maneno ya wengine..yaani mwenzio akisema kichwa kinauma na wewe unasema nasikia maumivu ya kichwa..umeambiwa fafanua na ili iwe bora unatakaje..unaanza ooh asubui ya leo umekunya mavi sana..sijui umechambia majani..yote ya nini sasa?na ukiona mtu hadi sasa anataka afafanuliwe eti hali ngumu ilivyo kwa tanzania yaani hajui eti kama hali ni ngumu ama laaa! hakika mtu hiyo hana manufaa yeyote kwenye taifa hili ni sawa na kinyesi ingawa hata kinyesi kina faida kwa mimea nadhan ni zaid ya kinyesi.
wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatua za wazi na zilizo onekana sio hizi za kuunga mkono juhudi wakati hakuna.Kwa hiyo unataka ufisadi,kutengeneza vyeti bookshop,uonevu wa wananchi,shida ya umeme,shida ya maji,uzembe kazini nk.nk.nk.viendelee?Yaani unatamani chupa badala ya dhahabu! Kama zuzu vile.
Acha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatu za wazi?
hayo maji unayo sema kwani tatizo limeisha? na miradi ya maji yoite iliyopo aliiacha kikwete kipi kafanya huyo msanii wenu zaid ya kutumia pesa kununua wapizani kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo?
mabilioni yanagharimia uchaguzi wa hiyari kabisa wakati hadi sada ukienda zahanati hata bomba la sindano unaenda kununua nje ya kituo?
hao wananchi unao dai walionrwa kwani leo hawaonewi? tena kwa sasa ndio wanauawa kabisa tena kinyama kabisa bila huruma.
hakuna medeleo kila kitu ghali na vinapanda kila siku uchumi unakua kwenye midomo ya wasaka tonge. wananchi wako taabani halafu mnaleta hoja zenu za uongo uongo mkizani wananchi nao ni wajinga na wapumbavu kama wana CCM
Umeongea kwa hisia kubwa sana. My prayer: GOD if you really love your people come and heal them.ccm inajulikana kwa wizi na utapeli ndio maana haijawahi shinda uchaguzi kwa haki. ccm ndicho chana kikuu kinacho ratibu mauaji, utekaji, rushwa na kila aina ya uovu nchi hii
tunawajua ccm ni watu wanao amini katika uchama zaid kuliko utaifa, ni watu wana jali maslahi binafsi kuliko maslahi ya taifa
tunawajua ccm ndicho chama kinacho pigana kwa hali na mali kuharibu elimu, uchumi, na mifumo yote itakayo mfanya mtanzania aelimike
ccm ndicho chama kina zidi kulitia taifa gizani na kuzuia maendeleo yakweli
ccm ndicho chama pekee kina amini kuwa uongo na ulaghai ndio njia sahihi ya kuongoza
TUNAWAJUA CCM KUWA HAWAWEZI SIASA SAFI TEGEMEO KUU LA CCM NI JESHI LA POLISI NA TUME YA UCHAGUZI
kifupi CCM ipo madarakani hadi sasa kwa mbeleko ya JESHI LA POLISI na TUME YA UCHAGUZI.
HIVYO NDIVYO TUIJUAVYO CCM. NA WANACHAMA WAKE je? kuna lingine?
na sifa ya mtu mpumbavu yeye hutatua tatizo na wala hajui kushughulika na chanzo cha tatizo ili tatizo hilo lisijirudie tena na hao ndio wengi zaid na dhani na wewr ni moja wapo ndio maana umeandika hicho ulicho andika hujui kwamba si wote wanafanya kazi kama yako wengine kazi yao ni siasa na wanaishi kwa siasa. na bosi wako ndio keshakuwa mfalme juha hataki watu wafanye siasa asizo taka yeye hata kama kikatiba ni ruksa huoni hapo kazi hazifanyiki?? au we upeo wako upo vipi? au ndio wale vilaza wa SUA. ya 32GPASifa ya mtu mwenye akili timamu sio malumbano,fanya kazi usitafute huruma kwa watu
Sent using Jamii Forums mobile app