Fafanua sasa..unapewa nafasi ya kuelezea na unataka iweje..hauongei..kama unayosema ni yako na haujaokoteza kwenye tanzania daima au kwa da mange fafanua basi..huyo mange mwenyewe alihojiwa akashindwa sema..ndio shida ya kusikiliza vitu kisha unataka kuaminisha wengine..fanya utafiti binti..unawaangusha wanawake wenzio kwa akili hizo za panzini dhahiri kabisa wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ujinga unao fanywa. na serikali upo bayana hata mtoto wa chekechea anauona bila shaka au mnadhani bado tupo zama za kale za mawe?
God can never rescue thieves,idolaters, lovers of themselves,lovers of money, corveters,infidels etc.etc.,things which the third and fourth government phases stood for.God only stands by the upright,godly and just friend.Umeongea kwa hisia kubwa sana. My prayer: GOD if you really love your people come and heal them.
.Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameniambia nikujibu hivi: Ili niwasaidie, UNGENI MKONO JUHUDI ZAKEBila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
I didnt mean to rescue thieves or idolaters but innocent people who are being injured by the ats of the aforementioned people.God can never rescue thieves,idolaters, corveters,infidels etc.etc.,things which the third and fourth government phase governments stood for.God only stands by the just friend.
"Mnasema mimi mpole, sasa nimewaletea huyu mkali, anatemaaaaa Checheeeeeeee" J.M kikwete [emoji23][emoji23]
Kwa nyakati kama hizi, wale wataalam wa saikolojia wanahitajika sana nchi hii kupungua ukali wa misongo ya mawazo ya wananchi walio wengi.Kinachotakiwa ni kufuata katiba sio Ku camouflage kwenye ukali kuficha weakness hata shuleni ukiona mwalimu mkali sanasana jua kuna kitu anaficha
nenda kalime wewe acha kuishi kimazoea..kama ulikuwa ukiishi kwa madili basi imekula kwako...baki unalalamika lalamika kama mwanamke wenzio wanapiga kazi kazi kwa kwenda mbele...jingaa sanaBila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?cha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vemaKikwete mlimwita mcheka cheka hovyo Na dhaifu kawapeni asiyecheka Na strong.Mlichotaka mumepata sawa Sawa Na matamanio ya mioyo yenu
mbona marehem baba yako na mama yako hujawakumbuka..au kwa sababu hawana umuhim kwa sasa kwakoJana alipokuwa anaongea kwa hudhuni nilimshangaa sana...
Nikasema kumbe na yeye anaumia...
Anaumia nini.... Analia nini..
Nikaishia tu kukumbuka Lissu... Saanane .... Azory..
Shabashhh..
kamanda hivi wewe ni chama gani vile..mkipewa dola mnaweza kuongoza..au unaharisha tu hapa...angalia wenzio wanavyohama baada ya kugundua kwa sasa hawapo mahala sahihi..wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatua za wazi na zilizo onekana sio hizi za kuunga mkono juhudi wakati hakuna.
hayo maji unayo sema kwani tatizo limeisha? maji ni shida kila kona hayo ya RUVU. ni kikwete si huyo msanii
na miradi ya maji yote iliyopo aliiacha kikwete kipi kafanya huyo msanii wenu zaid ya kutumia pesa za kodi kununua wapizani kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo?
mabilioni yanagharimia uchaguzi wa hiyari na kijinga kabisa wakati hadi sasa ukienda zahanati hata bomba la sindano unaenda kununua nje ya kituo?
hao wananchi unao dai walionrwa kwani leo hawaonewi? tena kwa sasa ndio wanauawa kabisa tena kinyama kabisa bila huruma.
hakuna medeleo kila kitu ghali na vinapanda kila siku uchumi unakua kwenye midomo ya wasaka tonge. wananchi wako taabani halafu mnaleta hoja zenu za uongo uongo mkizani wananchi nao ni wajinga na wapumbavu kama wana CCM
Nchi ni ya watanzania, watawala watakufa tu. Muhimu ni kuomba tuishi
Umenena vema mheshimiwa mstaafu Rais Jakaya Mrisho kikwete
Mkuki gizani umekupata ee...mbona marehem baba yako na mama yako hujawakumbuka..au kwa sababu hawana umuhim kwa sasa kwako
Hapana wala usimlaumu sana huyo jamaa coz anaishi kwa Dada yake na shemeji yake amesafiri kidogo hivyo yeye hajui ugumu wa maisha.na ukiona mtu hadi sasa anataka afafanuliwe eti hali ngumu ilivyo kwa tanzania yaani hajui eti kama hali ni ngumu ama laaa! hakika mtu hiyo hana manufaa yeyote kwenye taifa hili ni sawa na kinyesi ingawa hata kinyesi kina faida kwa mimea nadhan ni zaid ya kinyesi.
Hakuna cha ajabu hapa. Zote mbili ni EXTREME. Ukitaka ufanikiwe in every aspect, you must strike the balance. Wanyamwezi wanasema: Virtue stands in the middle. Tulihitaji A RATIONAL LEADER, sio otherwise.Kikwete mlimwita mcheka cheka hovyo Na dhaifu kawapeni asiyecheka Na strong.Mlichotaka mumepata sawa Sawa Na matamanio ya mioyo yenu