wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatua za wazi na zilizo onekana sio hizi za kuunga mkono juhudi wakati hakuna.
hayo maji unayo sema kwani tatizo limeisha? maji ni shida kila kona hayo ya RUVU. ni kikwete si huyo msanii
na miradi ya maji yote iliyopo aliiacha kikwete kipi kafanya huyo msanii wenu zaid ya kutumia pesa za kodi kununua wapizani kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo?
mabilioni yanagharimia uchaguzi wa hiyari na kijinga kabisa wakati hadi sasa ukienda zahanati hata bomba la sindano unaenda kununua nje ya kituo?
hao wananchi unao dai walionrwa kwani leo hawaonewi? tena kwa sasa ndio wanauawa kabisa tena kinyama kabisa bila huruma.
hakuna medeleo kila kitu ghali na vinapanda kila siku uchumi unakua kwenye midomo ya wasaka tonge. wananchi wako taabani halafu mnaleta hoja zenu za uongo uongo mkizani wananchi nao ni wajinga na wapumbavu kama wana CCM