Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nitamtafuta Jessica kwa udi na uvumba nimwambukize mimba afu nimkache
 
Wakikukamata wanakuweka kinyumba ukitoka huko mwenyewe unaita press conference kutangaza kuunga mkojo
Hawatanikamata, maana kabla ya tukio hilo nitatafuta bench la ufundi la maana. Yule lazima nimpe jimimba ahangaike nalo hakyanani
 
Kwahiyo sababu waliopita walikuwa wapumbavu na huyu akifanya undezi tumwangalie tu
Asiangaliwe tu,ila tuwe realistic.Anapostahili kusifiwa tumsifu na anapohitaji ushauri tumshauri.Siamini kwamba kila analofanya JPM ni baya,infact ana mengi mazuri kuliko mabaya.Binafsi kwa nini nisimpende JPM jamani,nyumbani kwangu shida ya umeme na maji leo ni historia!
 
sijui umeongea nini hapa.....swala la barabara ni jambo ambalo hata dr.shika akiwa rais atalifanya maana ni plan ya mda mrefu sana na usishangae hzo barabara ulizoztaja hapo zimekuwa kwenye plan tangu zama za mkapa. Swala ni je vipaumbele vya bwana yule vinaelewekaje? Je vinalenga kumtoa mtz kwenye umaskin?.....imagine ununuz wa ndge je uliidhinishwa na bunge? Na je tangu zmekuja mkulima wa huko nzela ananufaika vp ilhali atcl inapata hasara kila uchwao.....bei ya mfuko wa mbolea,cement,sukari n.k inakamatka?...wakulima je wanapatiwa masoko ya nje na ndan.....sector ya viwanda pa1 na hvyo viwanda tulivyoahdiwa vikwap?.....kijijin huko kuna maj, hospitali na zahanat je kuna dawa zakutosha na vifaa tiba,elimu je imeboreshwa kwa upatkanaj wa vifaa vyakufundishia n.k ujue v2 vingne bwn sio ad uende ulaya kujfunza nikuchekecha akili tu kwenye kukdh mahtaj ya m2 wa chini.....leo hii ukienda kuwauliza wananchi wa buzebazeba kati ya reli na maj kipi kianze utaskia jibu lake....au uwaulize wakaz wa muleba huko kat ya ndege na kuwataftia soko la mazao yenu kip kianze...TATIZO NI VIPAUMBELE VYA BWANA YULE😄😄😄
 

Kwako ni wapi? Je aliyejenga barabara nae unamsifu aliyejenga hospitali karibu na kwako ulimsifu kwanini tulazimishane nyimbo za kusifu mtu mmoja na kusahau kazi zilizofanywa na wengine. Kwanini tusijisifu pia wananchi kwa kulipa kodi
 
Hajui anapoyupeleka maana hata mikakati inabadilika kila siku ishu ya mjini sasa ni kununua wapinzani na sio viwanda tena
 
Kwako ni wapi? Je aliyejenga barabara nae unamsifu aliyejenga hospitali karibu na kwako ulimsifu kwanini tulazimishane nyimbo za kusifu mtu mmoja na kusahau kazi zilizofanywa na wengine. Kwanini tusijisifu pia wananchi kwa kulipa kodi
Sikatai kwamba tusijisifu kwa kulipa kodi,tujisifu,tena sana.Lakini kwani awamu ya pili,tatu na nne hatukulipa kodi,si tulilipa lakini zilifanyia nini, jamaa si walizipiga na ndugu zao,marafiki zao mashemeji zao nk.nk.Sasa kwa nini tusimsifu huyu ambae angalau hata matumizi tunayaona,hata kama according to some of us, sio priorities?Awamu ya pili,ya tatu na nne hata hayo ambayo wengine mnasema sio priorities mbona hatukuyaona.Magufuli si angeamua kuwa kama hao wengine akazipiga kodi zetu tuu,mbona tumekosa shukrani jamani,sisi ni wanadamu wa aina gani?
 

Kuna awamu iliyoboresha miundo mbinu kuliko awamu ya nne?
 

Aamue mara ngapi unajua 1.5Trillion ilipo?
 
huu uzi utakuwa kumbuku kumbu nzuri baada ya kipindi chake kuisha,
 
Mie naamini ana nia nzuri sana, sema haulizi pale anapopotea ili aweze kurudi ktk njia stahiki. Hii inafanya tuzidi kuingia chaka.
 
Kuna awamu iliyoboresha miundo mbinu kuliko awamu ya nne?
Kulinganisha awamu ya nne na tano ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi mkuu.The fifth phase government has been with us for only 2.5 years, but what it has already done is phenomenal,sio kwenye miundo mbinu tu,lakini kila eneo,wakitimiza miaka kumi kama serikali ya Vasco itakuwaje?Sipati picha kwa kweli.

Acheni roho mbaya ninyi,tuna jembe jamani.
 
Hayati Horace Kolimba wakati wa uhai wake aliutahadharisha uma wa Watanzania,kwamba,CCM haina sera,dira na imepoteza mwelekeo.Bahati mbaya sana hakueleweka kwa watanzania.Ni vyema kuhangaika na MFUMO(CCM) ambao hata Katibu Mkuu wao wa wakati huo alibainisha wazi kwamba hawana sera,dira na wamepoteza mwelekeo badala kuhangaika na mtu au watu wachache.

Kwa hiyo,swali la msingi liwe.Anayejuwa CCM inatupeleka wapi atuambie,naona kama tumepotea".MFUMO.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…