Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mkuu ndio unajua Leo tafuta hotuba aliyoongea kisukuma kumnadi mabula katika kampeni ya ubunge 2015 akimponda mjaluo wenje ndio utajua jiwe ni jiwe
 
Magufuli ni moja ya watu ninao wakubali sana. Mtu akipenda kwao anaitwa Mkabila. Dunia haiishi vituko
 
Naunga mkono hoja, Raisi hapaswi kuzungumza lugha inayozungumzwa na idadi ndogo ya watanzania. Hapo kwenye mkutano kuna watu hawajui kisukuma na wamehudhuria kumsikiliza Raisi wao, hawakutendewa haki.
 
Mi sioni tatizo kwasababu hadhira yake ilikuwa na wasukuma kwa takribani asilimia 90. Strategic objective pale ilikuwa ni "Msijisikie unyonge, mimi pia ni mwenzenu
 
Kama hotuba ni ya Jana basi usishangae alikua na washamba wenzake wa Bariadi/simiyu,yani wasukuma wenzake wa nkoa wa simiyu
 
Hakuna ktk kipande cha hotuba hiyo alipozungumza Kisukuma kwa dakika saba - huu ni upotoshaji wa hali ya juu - lkn hata sehemu alipozungumza Kisukuma alilazimika kuzungumza Kiswahili ili wasiofahamu lugha kanda wapate uelewa sawia - wewe unaonekana unamchukia Mhe Dkt JPM kwa sababu zako binafsi

Endelea kutekeleza Ilani ya CCM
 
Naunga mkono hoja, Raisi hapaswi kuzungumza lugha inayozungumzwa na idadi ndogo ya watanzania. Hapo kwenye mkutano kuna watu hawajui kisukuma na wamehudhuria kumsikiliza Raisi wao, hawakutendewa haki.
Wapi hapo hawajui kisukuma?tukusaidie.
 
Mkuu una matatizo makubwa unahitaji maombi, unashangaa nini kuongea kisukuma wakati alishatangazia dunia kuwa yeye ni kichaa, sasa unategemea kichaa aongee lugha ambayo dunia inaitambua?ataongea lugha ambayo ubongo wake utamuelekeza kama wanavyookota makopo hawachagui lipi la kuokota na wakati gani.We pambana na hali yako ndo hivyo tena box la kura mlimbebesha kichaaπŸ˜±πŸ˜›πŸ˜€
 
Mi sioni tatizo kwasababu hadhira yake ilikuwa na wasukuma kwa takribani asilimia 90. Strategic objective pale ilikuwa ni "Msijisikie unyonge, mimi pia ni mwenzenu
Mzee achana nawapuuzi hawa kwani kunashida gani akiongea kisukuma kanda ya ziwa niwasukuma.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…