Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Jifunze Kisukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda "hadhira" ilikuwa ni ya wasukuma tu!!
Kwani 2020 huyu aliyepo hatapitishwa?2020 wanyalu tunataka rais awe lukuvi na ss tuongee kilugha
Wapi hapo hawajui kisukuma?tukusaidie.Naunga mkono hoja, Raisi hapaswi kuzungumza lugha inayozungumzwa na idadi ndogo ya watanzania. Hapo kwenye mkutano kuna watu hawajui kisukuma na wamehudhuria kumsikiliza Raisi wao, hawakutendewa haki.
Mzee achana nawapuuzi hawa kwani kunashida gani akiongea kisukuma kanda ya ziwa niwasukuma.Mi sioni tatizo kwasababu hadhira yake ilikuwa na wasukuma kwa takribani asilimia 90. Strategic objective pale ilikuwa ni "Msijisikie unyonge, mimi pia ni mwenzenu