BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
unaogopa nini sasa? umeamua kujitoa muhanga endelea tu na dhihakiMimi siko huko bwana, usinilishe maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaogopa nini sasa? umeamua kujitoa muhanga endelea tu na dhihakiMimi siko huko bwana, usinilishe maneno.
Kwani uongoAti wapinzani wasiongelee janga la kivuko kwa kuwa wanatafuta kiki za kisiasa.
acha uongo, hakusema wasiongelee, alisema siasa isiingizwe kwenye jambo kma hili.Kauli hii ilinashangaza sana hapa niligundua bwana mkubwa anataka kuabuduwa na kusifwa yeye hataki mtu amzidi wala kumkosoa anapotokea mtu wa kufanya hayo anafanya mambo ajabu muoga sana anawaza siasa tu
Huwezi kuwazuia watu kusema ukweli hata akimuua huyu mwingine atatokea tu, rais ataua wangapi mwisho atakuwa rais wa mauaji.kumbuka huyu ni Rais unayemuongele anaongoza watu zaidi ya mil 50, hata kma una chuki naye, unaelekea nje ya mkondo na najua ukienda hivi siku si nyingi, utadabuliwa tu, kuwa kwenye keyboard hapa, usifikir umejificha sana...jihurumie kwanza
Huyo mtu atakuwa hajafa ame fake death kwasababu hata kuwa wa kwanza ku fake na inawezekana anaishi ma ID tofauti na kwasababu wote walikuwa kwenye system moja snawezekana ni kweli.Hawakumbuki!!, kweli nyani haoni ...., inahitaji akili kubwa kusoma katikati ya mstari na si kumeza tu.
Waache tu watajaa kwenye 18 zetu.Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
Yule basha wakoKuna aliyeahidi kumfukua marehemu na kumleta hapa bongo!
ameshakuwa addicted na chuki ambyo haiwezi kumtoa rais kwenye kit chake.mwaka 2006 mpaka 2012 kulikuwa na mtu kama wewe akachoka
epuka chuki mkuu, unaumia wewe tu
weka hoja na iwe makini na backup ya references au quotes, dates n.k
Tuliza msambwanda, 1.5 T iko wapi?Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
ni vigumu sana kuficha ukweliNilimwelewa sana Zitto jana
Huyu ndiyo ataharibu kabisa kupita wote, na kwa bahati mbaya sana anatawala wakati wa uwazi, na watu wengi wame elimikaHii nchi bila kupata rais wa namna hii haiendi mahali, maana tushaongozwa na marais wa aina zote lkn hakuna la maana walilofanya, lkn kwa huyu kichaa kidogo anaweza kufanya kitu, tuweni wavumilivu tu bado ana miaka 7 madarakani mambo mazuri yanakuja.
usidanganye wengine kuandika kitu kinachoweza kumuweka mtu kwenye shida, wewe mbna huanzishi nyuzi za aina hiyo?Huwezi kuwazuia watu kusema ukweli hata akimuua huyu mwingine atatokea tu, rais ataua wangapi mwisho atakuwa rais wa mauaji.
we dogo umeelewa alichoandika mtoa mada au umeongozwa na mawazo kurupushi na mihemko kutoka lumumba? punguza jazba dogo.Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
Sawa mkuu, mda utasemaHuyu ndiyo ataharibu kabisa kupita wote, na kwa bahati mbaya sana anatawala wakati wa uwazi, na watu wengi wame elimika
Laana anayo babako kwani angepiga bao LA mkono usingezaliwa fala kama wewe.Mnapokosa cha kuandika huwa mnakuja na nyuzi za kipuuzi kabisa.
Cha muhimu ni ungwana wa maongezi au kujitoa kwa mtu kwa ajili ya taifa lake!!.
Hao wenye kujua nini wazungumze wapi mbona walipoondoka ikulu mliwashushia mzigo wa lawama!!.
Huu weusi wetu ni kama laana fulani vipi!!.
Zitto Kabwe: Ni muda mwafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya katiba. - JamiiForumsKatika hali ya kawaida, kuna kauli au maneno ambayo mtu huwezi kuyatamka hadharani unless una mapungufu kichwani mapungufu yanayoweza kuashiria tatizo la afya ya akili.
Kwa mfano, kumuambia mtu vipande thelathini alivyojichotea atavitoa kupitia sehemu fulani za mwili wake(niliwahi sikia kuwa aliitoa hii kauli. Kama haipo mnikosoe).
Maneno kama haya mtu unaweza kuyatamka mbele za watu ukiwa ama ni mlevi au mko katika ugomvi huku hasira zimekupanda kupitiliza lakini sio hivi hivi.
Ukiacha kauli hii, kuna matamshi mengine ambayo ni ya kuji-contradict kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu mtu anakumbuka jana au juzi aliongea nini na leo anaongea nini.
Kwa mfano ile kauli kuwa wakati anaingia ofisini, alikuta teyari bei ya kikombe cha chai imepanda wakati si kweli bali bei ilipanda baada ya yeye kuingia ofisini na kufanya aliyoyafanya na kisha bei ya kikombe cha chai ndio ikapanda ghafla.
Kauli nyingine ambayo mpaka leo huwa naishanga ni ile ya kuwadhalilisha wanaomsaidia majukumu kuwa ni wapu...avu (hii iliniacha hoi kabisa).
Iko mifano mingi tu ambayo mtu ukiitafakari, utagundua ndugu yetu huyu sio kama hana mshipa wa noma, bali hayuko fit mentally.
I hope iko siku atafanya kituko kikubwa (kwa kauli au matendo) kuthibitisha mtazamo huu ambao kwa sasa umeanza kuwa ni mtazamo wa wengi.
Kifungu kipi cha uzi wa Salary Slip ametaja jina la mhusika?Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.