Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
CHOCHOTE ATAKACHOSEMA SASA NI SAHIHISi ameshasema kuwa yeye Ni kichaa?
Au hamkumueleawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHOCHOTE ATAKACHOSEMA SASA NI SAHIHISi ameshasema kuwa yeye Ni kichaa?
Au hamkumueleawa?
Fuatilia nyuzi zangu Quinine unafikiri wote tuna akili za kushikiwa.usidanganye wengine kuandika kitu kinachoweza kumuweka mtu kwenye shida, wewe mbna huanzishi nyuzi za aina hiyo?
Mnapoishiwa cha kufikiria mnakuja na sarcastic thread. Shame on you Salary Slip.Tena wewe ndio kabisa hiyo laana ya mtu mweusi unaithibitisha kila siku hapa JF.
Baba Kokoto! Kokoto ikiwa kubwa inakuwa Jiwe nayo ila Jiwe huzaa Kokoto!!Jiwe?
Fala Mama yako ambaye alichanua miguu usiku ule badala ya kumkatalia Baba yako. Matokeo yake kazaa punguani wa Jamii Forum.Laana anayo babako kwani angepiga bao LA mkono usingezaliwa fala kama wewe.
bado unamfuatilia zitto?Nilimwelewa sana Zitto jana
unakimbiaMimi siko huko bwana, usinilishe maneno.
Wewe ni punguani jamaa. Mimi ni mtu huru napongeza na kuunga mkono nachoona kinafaa. Nakosoa na kukataa yasiyofaa kwangu. Slaa aliyekuwa mwiba kwa CCM leo yupo nao,maana yake anaamini sasa wanafanya yanayofaa. Usiwe fala basibado unamfuatilia zitto?
mkamwombe msamaha
Asemaye hivyo huogopa kuanikwa madhambi yake full stop.Akili ndogo hujadili watu.
Tumia akili za kichwani mwako, acha slaa atumie ugwemgongo!Wewe ni punguani jamaa. Mimi ni mtu huru napongeza na kuunga mkono nachoona kinafaa. Nakosoa na kukataa yasiyofaa kwangu. Slaa aliyekuwa mwiba kwa CCM leo yupo nao,maana yake anaamini sasa wanafanya yanayofaa. Usiwe fala basi
Rais wa watu zaidi ya mil.50 tena walipa kodi lakini wale ambao hawana vyama na hawakuchagua CCM hawatapewa maendeleo japo kodi wanalipa.kumbuka huyu ni Rais unayemuongele anaongoza watu zaidi ya mil 50, hata kma una chuki naye, unaelekea nje ya mkondo na najua ukienda hivi siku si nyingi, utadabuliwa tu, kuwa kwenye keyboard hapa, usifikir umejificha sana...jihurumie kwanza
kwenda huko na uongo wangu, tena usiwe unani quote kwa uongo, lini ulipanda zile ndege, ukaambiwa ni za ccm tu, wakakushusha, lini uliona bara bara za lami zilitengenezwa na hiyo serksli ya ccm kwa kodi ya watu wte wakabagua kuwa upinxani usizitumie,hospitali gni ulienda ukabaguliwa kma mpinzani, acha kutulisha matango pori, kma huna hoja piga kimyaRais wa watu zaidi ya mil.50 tena walipa kodi lakini wale ambao hawana vyama na hawakuchagua CCM hawatapewa maendeleo japo kodi wanalipa.
Anapambanaje na wezi wa mali za umma!? Bila mifano hai,hii ni kichekesho.Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
Utaonaje kama anapambana na wezi wa maliza umma wakati wewe ni mfu.Anapambanaje na wezi wa mali za umma!? Bila mifano hai,hii ni kichekesho.
Kumbe siku hizi wafu wanaandika mitandaonu na mlio hi mnajibishana nao!?Utaonaje kama anapambana na wezi wa maliza umma wakati wewe ni mfu.