Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kauli hii ilinashangaza sana hapa niligundua bwana mkubwa anataka kuabuduwa na kusifwa yeye hataki mtu amzidi wala kumkosoa anapotokea mtu wa kufanya hayo anafanya mambo ajabu muoga sana anawaza siasa tu
acha uongo, hakusema wasiongelee, alisema siasa isiingizwe kwenye jambo kma hili.
 
kumbuka huyu ni Rais unayemuongele anaongoza watu zaidi ya mil 50, hata kma una chuki naye, unaelekea nje ya mkondo na najua ukienda hivi siku si nyingi, utadabuliwa tu, kuwa kwenye keyboard hapa, usifikir umejificha sana...jihurumie kwanza
Huwezi kuwazuia watu kusema ukweli hata akimuua huyu mwingine atatokea tu, rais ataua wangapi mwisho atakuwa rais wa mauaji.
 
Hawakumbuki!!, kweli nyani haoni ...., inahitaji akili kubwa kusoma katikati ya mstari na si kumeza tu.
Huyo mtu atakuwa hajafa ame fake death kwasababu hata kuwa wa kwanza ku fake na inawezekana anaishi ma ID tofauti na kwasababu wote walikuwa kwenye system moja snawezekana ni kweli.
Miaka ya karibuni kuna Mwingereza mmoja ali fake na ikuwa siri yake na mkewe hata watoto wakala hawajui akabadilisha identity yake mkewe anajifanya kanunua nyumba huko kama sikosei Marekani sikumbuki kitongoji gani, kwani alikuwa anatafuta kwa fraud.
Alikamatwa Heathrow airport akiwa na identity nyingine wakati anaingia UK
 
Mkuu tuombe radhi walevi hatuko hivyo hata kidogo[emoji4]
 
Waache tu watajaa kwenye 18 zetu.
Sisi tumeanza kuzoea kusikia CCM inashinda kwa kishindo.
 
Mmbakia kuchambua kauli za mkulu, hoja na agenda mmeweka kapuni
 
mwaka 2006 mpaka 2012 kulikuwa na mtu kama wewe akachoka

epuka chuki mkuu, unaumia wewe tu

weka hoja na iwe makini na backup ya references au quotes, dates n.k
ameshakuwa addicted na chuki ambyo haiwezi kumtoa rais kwenye kit chake.
 
Tuliza msambwanda, 1.5 T iko wapi?
 
Hii nchi bila kupata rais wa namna hii haiendi mahali, maana tushaongozwa na marais wa aina zote lkn hakuna la maana walilofanya, lkn kwa huyu kichaa kidogo anaweza kufanya kitu, tuweni wavumilivu tu bado ana miaka 7 madarakani mambo mazuri yanakuja.
Huyu ndiyo ataharibu kabisa kupita wote, na kwa bahati mbaya sana anatawala wakati wa uwazi, na watu wengi wame elimika
 
Huwezi kuwazuia watu kusema ukweli hata akimuua huyu mwingine atatokea tu, rais ataua wangapi mwisho atakuwa rais wa mauaji.
usidanganye wengine kuandika kitu kinachoweza kumuweka mtu kwenye shida, wewe mbna huanzishi nyuzi za aina hiyo?
 
we dogo umeelewa alichoandika mtoa mada au umeongozwa na mawazo kurupushi na mihemko kutoka lumumba? punguza jazba dogo.
 
Laana anayo babako kwani angepiga bao LA mkono usingezaliwa fala kama wewe.
 
Zitto Kabwe: Ni muda mwafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya katiba. - JamiiForums
 
Alishasema yeye ni kichaa , na amechagua wenzake ambao ni vichaa kama yet,
Kwahiyo usipate taabu Sana kutafakari kauri zake
 
Kifungu kipi cha uzi wa Salary Slip ametaja jina la mhusika?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…