Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Anahakili Timamu Na Ni Mzima Kabisa.
Mi Ninachohisi Ni Uasili, Mila Na Mazingira Ya Makuzi Ndo Matokeo Ya Hayo, Mfano;
1.Ubishi Na Ujuaji~refaa Waha, Hutu,
2.Misimamo,Hasira Na Visasi~rejea Watusi
3.Ubabe,ukari,~usukuma Ndani Yake
4.Ujuaji~phd Yake
5.Ubahiri Na Kutojari Watu~makuzi Ktka Familia Masikini Anachuki Na Wenye Pesa.
6.Frastration Zake~wake Wengi, Kutojari Familiya Yake.
7.Kutojua Lugha Kwa Ufasaha~mazingira Ya Makuzi Usukumani.
*Ila Huyu Mtu Simjui Ni Nani?*

Labda Mtoa Mada Atuambie Ni Nani Mi Nimejikuta Nakomenti Tu.
 
usidanganye wengine kuandika kitu kinachoweza kumuweka mtu kwenye shida, wewe mbna huanzishi nyuzi za aina hiyo?
Fuatilia nyuzi zangu Quinine unafikiri wote tuna akili za kushikiwa.

Mwambieni awaue wote wanaompinga ili atawale kwa raha, uongozi ni pamoja na kukabiliana na wanaokukosoa sio vitisho.
 
bado unamfuatilia zitto?

mkamwombe msamaha
Wewe ni punguani jamaa. Mimi ni mtu huru napongeza na kuunga mkono nachoona kinafaa. Nakosoa na kukataa yasiyofaa kwangu. Slaa aliyekuwa mwiba kwa CCM leo yupo nao,maana yake anaamini sasa wanafanya yanayofaa. Usiwe fala basi
 
Wewe ni punguani jamaa. Mimi ni mtu huru napongeza na kuunga mkono nachoona kinafaa. Nakosoa na kukataa yasiyofaa kwangu. Slaa aliyekuwa mwiba kwa CCM leo yupo nao,maana yake anaamini sasa wanafanya yanayofaa. Usiwe fala basi
Tumia akili za kichwani mwako, acha slaa atumie ugwemgongo!
 
kumbuka huyu ni Rais unayemuongele anaongoza watu zaidi ya mil 50, hata kma una chuki naye, unaelekea nje ya mkondo na najua ukienda hivi siku si nyingi, utadabuliwa tu, kuwa kwenye keyboard hapa, usifikir umejificha sana...jihurumie kwanza
Rais wa watu zaidi ya mil.50 tena walipa kodi lakini wale ambao hawana vyama na hawakuchagua CCM hawatapewa maendeleo japo kodi wanalipa.
 
Rais wa watu zaidi ya mil.50 tena walipa kodi lakini wale ambao hawana vyama na hawakuchagua CCM hawatapewa maendeleo japo kodi wanalipa.
kwenda huko na uongo wangu, tena usiwe unani quote kwa uongo, lini ulipanda zile ndege, ukaambiwa ni za ccm tu, wakakushusha, lini uliona bara bara za lami zilitengenezwa na hiyo serksli ya ccm kwa kodi ya watu wte wakabagua kuwa upinxani usizitumie,hospitali gni ulienda ukabaguliwa kma mpinzani, acha kutulisha matango pori, kma huna hoja piga kimya
 
Anapambanaje na wezi wa mali za umma!? Bila mifano hai,hii ni kichekesho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…