Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Haa haa haa huyu kichaa Mimi namsikilizaga alafu nabaki hi hi hi namkubarigi Sana huyu kichaa wetu
 
Amesomea Hesabu na Chemistry haya masomo yote ni ya kanuni hayana blah blah wala sanaa ya maneno. Yuko sawa sawa. Unachofanya wewe ni sanaa ya siasa
 
His Excellency Dr JPJ. . Bado tu hatujajua anatupeleka wap had leo[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Je pale aliposema yeye ni kichaa hyo imekaaje
 
Anapambana na wezi au analipa visasi? Unafikiri watanzania wajinga sana eheee!. Hans pope nae mwizi kwa mfano tu!
 
Anapambana na wezi au analipa visasi? Unafikiri watanzania wajinga sana eheee!. Hans pope nae mwizi kwa mfano tu!
Vyovyote utakavyoita, visasi, huruma, umafia nk..lakini kumbuka siku zote uovu, ulevi, wizi, matusi, kejeli nk vina gharama yake..hakuna ubaya ulilipwa kwa wema!
 
Ukiifahamu jamii ya watu anaowaongoza, tabia yao, historia yao ya miaka 10 iliyopita..utafahamu pia sababu za kauli unazodhani hazikuvutii wewe, sasa sina hakika kama ukichaa wa jamii iliyokuwa inashabikia wezi na wauza madawa ya kulevya ulikuwa unakunufaisha wewe ndio maana ulikaa kimya au na wewe uikuwa kichaa pia ila sasa unadhani umepona kiasi unalalamikia tiba inayoponyesha ukichaa.
 
Suluhu ni Ibara ya (37) 2
 
Sasa unategemea jiwe liwe kama binadamu, jiwe ni mzimu au kitu kisicho na sense
 
Kwa nini watu wengi humu JF mmeshikiwa akili zenu na wanasiasa? Yaani akisema kitu Jiwe au Zito au Mbowe basi mnafuata tu. Tutakuja hivi mpaka lini, mnaanzaje kujadili msemo ya Jiwe humu. Anyway, nadhani tuna safari ndefu sana ya ukombozi wa fikra. Huwezi kusimamia makosa ya sentensi 2 out of 1000 sentences, ilihali unajua fika maana ya sentensi hizo. Na kwa staili hii Jiwe atakuwa anachomekea msemo yake ili kuwapoteza kwenye maana. Sipendi siasa lakini sipendi zaidi ninapoona mtu hatumii akili zake vizuri rather a anategemea mentor wake atasema nini. Tuache hii tabia, na tujenge uwezo wa kuhoji critical issues not mere statement or events.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…