Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Right track subutu? Kichaa amekwama sasa anatafuta pesa Kwa nguvu.mo analazimishwa aweke sahihi kwenye Hindi $2000000 amegoma hadi sasa
 
Kuna jambo. Hata kipindi kile ghafla ilipanda baadae ikatulia . Je kuna printing ya pesa? Nilisahau kujibu, tupo 'lait' track
 
Ni kweli mkuu tupo kwenye right track huoni jinsi matajiri akina Mo wanavyoishi kama mashetani sasa hivi!
 
Jamaa kwenye vitu wanavyohusika wanakaa kimya kabisa ila wasivyohusika kimbelembele kutoa maagizo na matamko CC MV Nyerere, Ajali ya basi Kenya, Tukio la TL,Azory Gwanda etc
 
Wahenga walisema mjusi ukimkimbiza sana hugeuka kuwa nyoka. Kwa dalili za awali ni kwamba sasa tumechoka! Muda si muda transformation ya mjusi to nyoka itatokea.
Tumewapa jukumu la kuongoza boma kwa mujibu wa sheria, na si kwa matakwa yenu. Mambo ya kuteka Ng'ombe au mbuzi si sehemu ya makubaliano yetu.
Tumewaweka kuwa tumaini kwetu na wala si chanzo cha hofu na simanzi!
Makubaliano yetu ni kwamba katika boma tupo huru kutoa maoni yetu bila kuhalifu sheria mama na dada.

Haya ya kutunyamazisha na vitisho kwamba kuna watu wa boma nyingine wanatamani kuja kuchua uongozi wa boma letu hayavumiliki!

Let it be, hao wakitutawala watatufanyia nini cha ajabu kuliko upuuzi wa wazee wetu wa boma?
Utekaji wao utakuwa tofauti?
Kutupa miili yetu baharini kutakuwa tofauti?
Kutufanya wajinga kutakuwa tofauti?
Mjitafakari na kumrudia Mola wenu, mmepotea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom