Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wahenga walisema mjusi ukimkimbiza sana hugeuka kuwa nyoka. Kwa dalili za awali ni kwamba sasa tumechoka! Muda si muda transformation ya mjusi to nyoka itatokea.
Tumewapa jukumu la kuongoza boma kwa mujibu wa sheria, na si kwa matakwa yenu. Mambo ya kuteka Ng'ombe au mbuzi si sehemu ya makubaliano yetu.
Tumewaweka kuwa tumaini kwetu na wala si chanzo cha hofu na simanzi!
Makubaliano yetu ni kwamba katika boma tupo huru kutoa maoni yetu bila kuhalifu sheria mama na dada.

Haya ya kutunyamazisha na vitisho kwamba kuna watu wa boma nyingine wanatamani kuja kuchua uongozi wa boma letu hayavumiliki!

Let it be, hao wakitutawala watatufanyia nini cha ajabu kuliko upuuzi wa wazee wetu wa boma?
Utekaji wao utakuwa tofauti?
Kutupa miili yetu baharini kutakuwa tofauti?
Kutufanya wajinga kutakuwa tofauti?
Mjitafakari na kumrudia Mola wenu, mmepotea.
Huu ni ujuha na ujinga wa kiwango cha lami. Upumbavu kama huu wa mtu kujifanya anajua kila kitu ni ubwege wa ngazi ya chuo kikuu. Kwa vile sisi wazalendo na wafia nchi tumewaeleea nyie machakubanga, then hamtupi shida kabisa. Ndoto zenu za watu elfu moja wa kwenye mitandao kwamba mtaleta upuuzi ktk nchi hii wala hamtafanikiwa. Sana sana mtadhughulikiwa vizuri tu kwa mujibu wa sheria zetu. Jifanyeni hamnazo tu. Kazi kushinda nyuma ya keyboard na kuongea utumbo. Jitokezeni hadharani mleye huu ujinga wenu muone. Na ndio maana hii nchi hatuwezi kuwapa hayawani na nguruwe, ina wrnyewe hii.
 
Wenye kufaidi boma hawapo nyuma ya keyboard! Mpendwa jitambue! Who are you? Better than mwana boma Nepi? or Machemba ya maji?
Acha kujipa faraja ya uongo! Unahitaji haki na utawala wa sheria kama wana boma wote tu.
 
Huu ni ujuha na ujinga wa kiwango cha lami. Upumbavu kama huu wa mtu kujifanya anajua kila kitu ni ubwege wa ngazi ya chuo kikuu. Kwa vile sisi wazalendo na wafia nchi tumewaeleea nyie machakubanga, then hamtupi shida kabisa. Ndoto zenu za watu elfu moja wa kwenye mitandao kwamba mtaleta upuuzi ktk nchi hii wala hamtafanikiwa. Sana sana mtadhughulikiwa vizuri tu kwa mujibu wa sheria zetu. Jifanyeni hamnazo tu. Kazi kushinda nyuma ya keyboard na kuongea utumbo. Jitokezeni hadharani mleye huu ujinga wenu muone. Na ndio maana hii nchi hatuwezi kuwapa hayawani na nguruwe, ina wrnyewe hii.
Akina nani ?
 
Alilivamia suala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia suala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwatishia akina Nape kuwafukuza ona linavyowatesa wananchi.

Alimfukuza Mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya Lugumi sasa imeonekana Serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo Lugumi.

Je, kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa mikoa na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Angalia watakuzingira
 
Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
 
Watanzania tuache maneno ya hovyo. Simlisema sukari haina soko? Mkaenda kupiga picha magodown ya bhakresa na kupta mkasema sukari yetu imekosa soko, shenzi zenu. Mkasema korosho zimedoda sijui bei, hatua zimechukuliwa bado tu. Kuna mshenzi mmoja alituambia nchi ina njaa hii, kumbe mshenzi tu, mahindi yapo tele sumri pekee anatulisha nchi nzima. Yaani kuna watu utadhani walizaliwa tumbo moja na shetani. Hivyo kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom