Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
....unapata wapi uzoefu wa kukosoa uongozi, wakati hujawahia kuongoza hata kundi la singeli !?

Kwa mantiki yako hii ina maana hata nyie mnaomsifia Magufuli hamna uzoefu stahiki wa kumsifia maana sio nyote mliowahi kuwa viongozi. Au uzoefu unahitajika katika kukosoa tu?
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Aliparamia makinikia akaja na tume mbili zikaleta proffessorial rubisb, makinikia yameondoka na tunadaiwa
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!

Umesahau kuhusu mafuta ghafi mpaka leo bei ya mafuta ya kula ipo juu. Kaingilia siasa saa hii siasa haina mvuto mpaka wananchi wengi hawapigi kura.
 
'..i wish malaika washuke waje waizime mitandao yote..'
 
....unapata wapi uzoefu wa kukosoa uongozi, wakati hujawahia kuongoza hata kundi la singeli !?

Acha utoto we dogo, kwahiyo huwezi kumkosoa mtoto wako kwa kufanya vibaya darasani mpake uwe umewahi kuwa mwalimu? Naona mlijikita kwenye matumizi makubwa ya vyombo vya dola, saa hii ukweli wa maamuzi yenu mabovu unadhihiri mmebaki kuongea upuuzi tu humu jukwaani.
 
....maamuzi yenu bora ni ku recruits ccm drop out na kuwasafisha wale mliokuwa mmewatuhumu.
 
Sijawahi kumshabikia wala kumkubali/kumsafisha kiongozi yoyote toka ccm. Post zangu zipo hapa hapa jukwaani.
 
Kuna kitu wamefanikiwa sana utawala huu kuanzia malaika mkuu gabriel hadi vimalaika vidodo fidodo kina konda na hepi. Kitu walichofanikiwa ni kuwa wao wapo kwenye kampeni ya za kutafuta kiki kwenye meia tangu enzi hizo hadi leo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom