wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,142
- 2,947
Kuna mahala tumemkosea Mungu haiwezekani atupe mtu fyatu kama huyuhaka kakipindi kalikuwa hakafai kuishi tz ila basi tu[emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahala tumemkosea Mungu haiwezekani atupe mtu fyatu kama huyuhaka kakipindi kalikuwa hakafai kuishi tz ila basi tu[emoji125][emoji125][emoji125]
....bora mwanao anakunywa maji, wewe unakunywaa mkojo wa punda !Magufuli is the president only loved by fools,mwenye akili timamu hawezi kumpenda huyu mtu....
...msaga sumu ana sababu basii ! Yeye hamu yake ni kuua tu ndo aisifie sumu yake inaua chap chap !Ina maana hakuna hata moja alilofanikiwa?
....ukiwa na roho mbaya na chuki si lazima kujenga hoja, unaropokwa ropokwa tuu !Hakuna labda hostel za udsm ila ukisema ndege hapo napo ni majanga shirika la ndege lilipaswa kuongozwa na private sector for efficiency lakini mda si mrefu dream laina itakuwa juu ya mawe. Ameshakuwa yeye mwenye ndo konda na dereva anaigiza tu kwamba hii iwapeleke wale na iwaache hawa. Hafuati kabisa principles za biashara yaan demand na supply. Finally inchi itasubsidise ili shirika liendelee kuwepo na atakayeumia ni mlipa kodi na sector zingine za muhimu
.....yaani Lissu ana kipaji cha kubishana tuu ....basss !Yeye lisu ana akili? Mbona yeye lisu ndiye mtu mjinga na waajabu kuliko watanzania wote
...una maanisha nini ?!Proove!
.....alijaribu kumuua ndo maana ikashindikana !Mungu anamuumbua kajaribu kumuua lissu ikashindikana
...ndo maana anawashughulikia wala rushwa.Huyu jamaa hua ni bure..ni kama wale samaki wa kipindi kile.....na kesi tukashindwa na faini tukalipa...
Bure kabisa
...ndo maana anawashughulikia wala rushwa.
...baada ya kumsafisha Baraba na kumpivia deki barabara !Akafunguliwa baraba na tukamsulubisha yule. Sasa majuto yameanza
Hivi mkuu makusanyo ya mwezi April yalikuwa trilioni ngapi? Na za mwezi May je?
Zamani tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi ya serikali lakini kwa sasa ni kimya kabisa. Pia ukiongea na watumishi serikalini watakwambia hakuna hela ya DEVELOPMENT imetumwa mwezi wa nne na wa tano, pia hata hela ya kuendesha ofisi maarufu kama OC haijatumwa kwa miezi miwili. Hii ni dalili kuwa nchi haina muelekeo mzuri kiuchumi ingawa sisi wengine tunampa muda huyu nahodha wetu hadi atakapoanza kutekeleza bajeti yake mwezi July
Unahoja kwa mbali sana lakini hoja yako inpotea kua hoja kwa sababu ya chuki binafsi uliyonayo kwa Joseph magufuri,ulitaka rais awe nani? Ili porojo zako hizi ziwe na mashiko,pili kutekwa kweli wanatekwa,mbona wewe hujatekwa nikuulize?na porojo zako hizi unafikili kwa dunia hii unaweza kudanganya watu ,ni ngumu ,mmoja baada ya mwingine aliyetekwa walikwambia wametekwa kwa sababu gani? Umekili tunaweza kutambua mabaya na mazuri nikushauli tu,soma ni nchi gani iliyo waajiri vijana wake wote wakaisha mtaani?ukikaa kimya siyo kwamba utaonekana hujui laa acha porojo eti tumeletewa magufuri awe tatizo,ni uongo ulio tukuka acha roho mbaya.Tunasikitishwa mno na Uongozi wa Rais Magufuli kwa kitendo chake cha kuiongoza Nchi kupitia Mkono wa Chuma (Umwagaji Damu). Kwa muda mfupi wa miaka mitatu ya Uongozi wa Rais huyu, tumeshuhudia wa- Tanzania wengi wakifariki kupitia Vifo vya kutatanisha na visivyo na maelezo yakutosha na wa Tanzania wengine wakitekwa, kuteswa na ama kuachiwa au kuuawa/ kupotea kabisa!
Mfano:- Mwaka 2016 alitekwa Ben Saanane. Hajaonekana. Mwaka 2017 alitekwa Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye hajaonekana vile vile, alitekwa Mwana Habari Azory Gwanda hajaonekana. Mwaka huu 2018 ametekwa Mohammed Dewji, yaani wiki hii, jambo la kushangaza Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinatuletea Hutuba ile ile tuliyokwisha izowea eti wako wanaendelea na kumtafuta na upelelezi unaendelea!
Tunaomba sana Rais na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ingawa hawapendi basi wajilazimishe kututambua kuwa sisi ni Wa-Tanzania wenzao, watuheshimu, watujali, watudhamini, Watulinde na wasitudharau kwani nasi ni Binadamu wenzao tena wenye Akili timamu ya kutosha inayotuwezesha kung'amua mambo kama wafanyavyo wao. Wa-Tanzania tuna weledi mkubwa wa kuchanganua yaliyo MEMA na MABAYA. Viongozi wasitulee Hutuba zilizo jaa Vitisho vyenye lengo la kutuziba Mdomo tusijadili na kuongelea kitendo hiki cha utekaji Wananchi kilichoshamili Nchi/miongoni mwetu, wasituletee hutuba zilizojaa Propaganda, Dharau na Dhihaka kwa Wananchi, wakumbuke kwamba, tunajua namna ya kuchanganua Kauli, vitendo, Sura nk. ya Kiongozi anayetuhutubia kisha tukafahamu wazi kama jambo analotueleza ama lina ukweli au laa!
Yapo mambo mengi yanayotuaminisha kuwa Rais Magufuli na Watu wake ndiyo wanaotekeleza Opereshen hii ya Utekaji, utesaji na Uuwaji wa Wananchi wasiyo na hatia ndani ya Nchi kwa sababu za KIUCHUMI na KISIASA. Mfano-
Eneo ambalo Mo Dewji alikotekwa ni lenye Ulinzi Mkali zaidi Nchini, lina umbali wa kilomita chache kutokea Ikulu, ni jirani na Makao Makuu ya Usalama wa Taifa - TISS, jirani na Makazi ya Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Zanzibar na Waziri Mkuu Mstaafu. Mtaa una CCTV za kutosha, lakini jambo la kushangaza, Vyombo vyetu vya usalama vinatulea maneno mepesi ya kutulaghai eti wanamtafuta MO kwa juhudi kubwa, nguvu na Akili zao zote, siyo kweli, hatuamini kabisa kwani Ufalme siku zote huwa haujipingi wenyewe! Ikiwa wameshindwa kumwokoa MO, huyu aliyetekwa maeneo salama ya Dar je, Mwananch ambaye anaweza kutekewa mkoani tena Wilaya ya mbali huko, wanaweza kumpata kwa muda gani, na ikiwa watampata atakuwa hai au ameshakufa!!?
Kuna utofauti Mkubwa kati ya kuwatafuta na kuwapata kwa WAKATI Watu waliopotea/waliotekwa hata kuwatia mbaloni Watekaji husika na kitendo kile cha kuwatafuta Watu hao kwa Muda mrefu usiyojulikana kikomo chake wala taarifa kutokutolewa kwa Wananchi. Mfano:- Mpaka sasa, hatuoni aliyekwisha tiwa mikononi mwa Police aliyempiga Risasi Mh. Lissu, aliyemtesa Dr. Olimboka, aliyempoteza Ben Saanane na wengine wengi!! Ni hutuba nyingi tu tunazopewa ambazo kimsingi ukizitafakari zaidi, utagundua Wana Usalama hawa, hawana nia ya kweli kulishughulikia jambo hili. Ni sababu zipi zinazowafanya wasilishughulikie jambo hili wakati tunajua kabisa pasipo mashaka, wana uwezo mkubwa wa kutokomeza vitendo vyote vyenye nia ya kuhatarisha Amani ya Nchi!?
Rais wetu Magufuli, tunamjua alivyo mwepesi kulisimamia/ kushughulikia jambo lolote linalogusa, kuwatesa na kuwahuzunisha Wananchi hususani maswala ya Kiuchumi, huwa hasiti kuwafukuza kazi Viongozi wazembe, ni mwepesi kuitisha Wanahabari Ikulu ili kuwahutubia Wananchi LIVE kuhusu maswala mbali mbali anayoyafanya kwa manufaa mapana ya maendeleo ya Wananchi lakini, pia kama kuna swala halimpendezi, huliongelea na kulichukulia hatua ya haraka zaidi. Je, kwa nini Rais haoni haja ya kutuhutubia juu ya Vitendo hivi haramu vinavyoshamiri Nchini vya Utekaji, Utesaji na uuwaji wa Wananchi wake!? Je, kwa nini haoni sababu ya kuwafukuza kazi Viongozi wakuu wenye dhamana ya kuilinda Amani ya Nchi hususani Wananchi na Mali zao!? Mbona Viongozi wa Wizara nyingine anaweza kuchukua hatua ya kuwatimua kazi kwa haraka lakini kwa hawa wa Vyombo vya Ulinzi vipi!?
Ukweli ni kwamba, kwa tofasili ya Viongozi wa Serikali, Nchi ina Amani tele lakini kwetu sisi WANANCHI WA TANZANIA, hatuioni hiyo Amani inayopigiwa chapuo! Kila kukicha Wa- Tanzania wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, mmoja mmoja anadondoka, haijulikani kesho ni yupi atafuatia!! Tukiwaomba Serikali watuletea VYOMBO VYA KIMATAIFA WAJE KUTUONDOLEA MZIZI WA FITINA KATIKA KUCHUNGUZA NINI CHANZO NA NI WAKINA NANI WAKO NYUMA YA MPANGO NA UOVU HUU, Serikali inakataa! Rais Magufuli tumweleweje!?
Kimsingi, Wanasiasa hawana Pesa ya kuanzisha Viwanda vikubwa vyenye uwezo wa kuwaajiri wa- Tanzania zaidi ya 100, hata wakivianzisha huajiri watu wa Familia zao na ndugu na majaa wa karibu nao! Sasa Matajiri wa Nchi hii wenye Viwanda vikubwa vya kuajiri wa Tanzania zaidi ya watu 200, ndiyo hao Wanatekwa, wanateswa na kuuwawa! Maana yake ni kwamba hao walio ajiriwa watakosa kazi, na njaa kali itaingia kwenye Familia zao! Uzalishaji na mzunguko wa Pesa Nchini utakwisha siyo muda mrefu, watanzania wataandamwa na njaa kali.
Jambo kubwa la kusikitisha, wakati Utekaji wa Matajiri ukiendelea na kusababisha ukata wa Ajira Nchini, Serikali ya Magufuli haina Mpango wowote wa kuajiri. Vijana wako mtaani wakizurula na ukata wao pamoja na kuwa na Elimu na ujuzi mkubwa wa Mambo!
Hakika CCM, Viongozi wastaafu hususani Marais, mmetuletea Nchini balaa na laana kubwa kwa kitendo chenu cha kumteua Dr. Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Nchi yetu Tanzania, Nchi iliyokuwa ya Amani, watu wake wakiwa na Furaha tele, sasa Furaha na Amani Mioyoni mwao imetoweka ghafla katika kipindi hiki kifupi cha Utawala huu, huzuni na hofu imetanda kila kona ya Nchi. Mungu atusaidie, atuepushe hali hii. Amen!!
.....haipaswi kuingilia mwenendo wa kesi Mahakamani.Kamshughulikia mla rushwa yupi?
Naomba jina tafadhali!
MImi naamini hatujawahi kuwa na Rais mwenye kutaka nchi isonge mbele kama JPM ,tatizo kubwa ni washauri mkuuBinafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Haijulikani, mara ya mwisho alionekana March 11, 2018 akitoka gym tunatumaini wazungu wawili hawajafanya yao.Hvi mleta uzi huu kupotelea wapi
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haijulikani, mara ya mwisho alionekana March 11, 2018 akitoka gym tunatumaini wazungu wawili hawajafanya yao.