Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
....unapata wapi uzoefu wa kukosoa uongozi, wakati hujawahia kuongoza hata kundi la singeli !?
Aliparamia makinikia akaja na tume mbili zikaleta proffessorial rubisb, makinikia yameondoka na tunadaiwaAlilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Huyu hana haja ya kushika mic, yeye anaonyesha dhahiri kuwa ni mgonjwa, na pia ana faili mirembe.Umeshawahi kumsikia Lissu ameshika microphone na kusemae yeye ni kichaa?
HahahaNaona unataka kumuweka @maxece mero kikaangoni tena ili atoe taarifa zako
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
...hivi wewe umewahi ongoza hata mtaa au kikundi cha kwaya Kanisani !?
.....angetumia approach ya udongo !? Hata kujua approach pia ni mafanikio !Hajawahi ila hata angeongoza asingetumia approach hii ya jiwe.
Unamdhalilisha mwenye file mirembe hata baba yake aliwahi kumcharaza bakora.Huyu hana haja ya kushika mic, yeye anaonyesha dhahiri kuwa ni mgonjwa, na pia ana faili mirembe.
Ina maana hakuna hata moja alilofanikiwa?
....unapata wapi uzoefu wa kukosoa uongozi, wakati hujawahia kuongoza hata kundi la singeli !?
....maamuzi yenu bora ni ku recruits ccm drop out na kuwasafisha wale mliokuwa mmewatuhumu.Acha utoto we dogo, kwahiyo huwezi kumkosoa mtoto wako kwa kufanya vibaya darasani mpake uwe umewahi kuwa mwalimu? Naona mlijikita kwenye matumizi makubwa ya vyombo vya dola, saa hii ukweli wa maamuzi yenu mabovu unadhihiri mmebaki kuongea upuuzi tu humu jukwaani.
....maamuzi yenu bora ni ku recruits ccm drop out na kuwasafisha wale mliokuwa mmewatuhumu.
Magufuli is the president only loved by fools,mwenye akili timamu hawezi kumpenda huyu mtu....