Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mmh suala la Membe kupendekezwa raisi limtokea wapi naona hasa humu jf ni membe tu,
 
Kiukweli JIWE kazingua sana,kila mtu mtaani analalamika:-
Nilikuwa napiga story na washikaji vijiweni yaani wanamlaani sana.
1.Kuna mmoja akasema daa enzi za kikwete yaani saa nne tu asubuhi nishaingiza buku 7 ila mpaka sasa saa tisa bado sijapata mchongo.

2.Kuna fundi akasema da eneo hili lipo wazi sana usione kama ni pori,kote kuna viwanja vya watu sema ingekuwa enzi za kikwete wangekuwa washajenga.

3.Hii ni general kila mtu anasema usawa huu wa magu shida yaani hapo hakubaliani na bei uliyompa kununua kitu.
 
Duh! CHADEMA bana, mnatumia fedha kulipa majobless wakeshe wakitoa threads za kijinga kama hii. Mmemchomekea Membe ili kumfitinisha na Magufuli, hii project ilishafeli kabla haijaanza.
Tumieni akili basi, hivi Membe anaweza akadanganyika na kuicheza ngoma ya CHADEMA?
hivi musiba anamuwakilisha nani hapa Tanzania? watu wengi hatuko informed.
 
Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.

Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.

Kwi! Kwi! Kwi!
 
Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.

Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.
Shetani pia alipata waungaji mkono na bado anao wengi tu. Hiyo haihalalishi ushetani wake. Hata mkakesha mnatafutiza sifa zake haitaondoa ukweli kuwa huyu Mheshimiwa hana LOLOTE la mfano alilofanya kuwaondolea ugumu wa maisha hao masikini aliojinasibu kuwatetea na kuwatumikia.
 
"Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono"....... kweli hujaona chochote hi miaka mitatu? Wewe muongo, Dreamliner, SGR, flyover ya Tazara, stingler elimu bure Chato airport, nk
Watu wanataka waendelee wao siyo maendeleo ya vitu.Kwa maana ya kwamba umaskini wa kipato upungue na maisha yaboreke kama inavyoainishwa na mkukuta
 
Mpaka membe awe mgombea 2020 watu wasiojulikana watakuwa wamenyakuliwa au naota. MAsimponze baba wa watu
 
Kwa hiyo ulitaka usaidiwaje sasa? 2020 piga kura vinginevyo kama umemchoka au Magufuli ni Babako kwamba huwezi kumuacha?
Siwezi kupoteza muda wangu kwa ya huyu kichaa, 2020 atupishe akalime viazi huko Chato. Kaligawa taifa letu vipande vipande.
 
  • Thanks
Reactions: AWM
Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.

Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.
Huyu ni msiba au kilio maake hana hoja ila kajaa upuuzi tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom