Nkwakidudu
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 160
- 174
Dah hivi wapinzani mpo serious kweli? na mna mpango wa kuongoza nchi? kwa siasa hizi za kitoto toto
Nami nashangaa leo Membe ananadiwa sanaMmh suala la Membe kupendekezwa raisi limtokea wapi naona hasa humu jf ni membe tu,
hivi musiba anamuwakilisha nani hapa Tanzania? watu wengi hatuko informed.Duh! CHADEMA bana, mnatumia fedha kulipa majobless wakeshe wakitoa threads za kijinga kama hii. Mmemchomekea Membe ili kumfitinisha na Magufuli, hii project ilishafeli kabla haijaanza.
Tumieni akili basi, hivi Membe anaweza akadanganyika na kuicheza ngoma ya CHADEMA?
Kwi! Kwi! Kwi!Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.
Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.
HahahahahaSijawai kumpenda fisadi yoyote inchi hii. Sio membe sio jiwe. Haya nijibu huyo membe mmempendea nini halafu mbona gafla au kawaongezea posho kutoka bk7 mpaka 8?
Shetani pia alipata waungaji mkono na bado anao wengi tu. Hiyo haihalalishi ushetani wake. Hata mkakesha mnatafutiza sifa zake haitaondoa ukweli kuwa huyu Mheshimiwa hana LOLOTE la mfano alilofanya kuwaondolea ugumu wa maisha hao masikini aliojinasibu kuwatetea na kuwatumikia.Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.
Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.
Watu wanataka waendelee wao siyo maendeleo ya vitu.Kwa maana ya kwamba umaskini wa kipato upungue na maisha yaboreke kama inavyoainishwa na mkukuta"Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono"....... kweli hujaona chochote hi miaka mitatu? Wewe muongo, Dreamliner, SGR, flyover ya Tazara, stingler elimu bure Chato airport, nk
Kwahiyo CCM iendelee kutawala?Naunga mkono hoja [emoji1303]
Kama mtu alikuwa anamwamini huyu kichaa alichokuwa anasema na kuahidi nampa pole sana
Siwezi kupoteza muda wangu kwa ya huyu kichaa, 2020 atupishe akalime viazi huko Chato. Kaligawa taifa letu vipande vipande.Kwa hiyo ulitaka usaidiwaje sasa? 2020 piga kura vinginevyo kama umemchoka au Magufuli ni Babako kwamba huwezi kumuacha?
Punguza jazbaKwa hiyo ulitaka usaidiwaje sasa? 2020 piga kura vinginevyo kama umemchoka au Magufuli ni Babako kwamba huwezi kumuacha?
Huyu ni msiba au kilio maake hana hoja ila kajaa upuuzi tuMmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.
Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.