Ndugu wakuu habarini za jioni?
Nchi hii hali imekuwa tofauti na miaka ya nyuma! Kwa wale wataalam wa maswala ya project management naamini kuwa wanafahamu sasa kama ni mradi tayari umeshafeli(project failure), kuna mambo mengi sana ambayo sisi kama taifa kwa uzalendo na umoja wetu kama watanzani inabidi tutazame ni vitu gani ambavyo vimesababisha ile watu wanapata shida katika maisha yao ya kila siku, kila siku ni afadhali ya Jana tatizo liko wapi? Wakulima wanalia,wafanyakazi, wananchi wanalia,kotekote hali sio nzuri tumekosea wapi? Tuwekeni uzalendo mbele kwa maslai ya taifa hili