Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA + wapinzani wengine ni wachache sana bungeni; waliokuwa wakipitisha maamuzi yasiyofaa ni CCM; nakushangaa unaposema hiyo ni kazi ya Chadema. Jiulize ile mikataba iliyosainiwa zaidi ya 17 pasipo kutafsiriwa ilipitishwa na nani?Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
Read between the lines!CHADEMA + wapinzani wengine ni wachache sana bungeni; waliokuwa wakipitisha maamuzi yasiyofaa ni CCM; nakushangaa unaposema hiyo ni kazi ya Chadema. Jiulize ile mikataba iliyosainiwa zaidi ya 17 pasipo kutafsiriwa ilipitishwa na nani?
1.Mererani huko Tanzanite kumekucha!
2.Koroshow azisomeki!
3.Forex patashika
4.???
View attachment 956456
Na mbowe na genge lake.CHADEMA + wapinzani wengine ni wachache sana bungeni; waliokuwa wakipitisha maamuzi yasiyofaa ni CCM; nakushangaa unaposema hiyo ni kazi ya Chadema. Jiulize ile mikataba iliyosainiwa zaidi ya 17 pasipo kutafsiriwa ilipitishwa na nani?
Mumuombee maji ya kunywa.Tumwombee
Mm nililiona toka mwanzo kabla hata hajaondoka kwenda kucheza kwamba tayari washakutana na mkosi4. Taifa star na million 50 ikaangukia pua.
1.Mererani huko Tanzanite kumekucha!
2.Koroshow azisomeki!
3.Forex patashika
4.???
View attachment 956456
mafuta ya kula nayo mhmmmmmMakininikia na Noah zetu ndio hivyo tena,
Bandarini pale,,,petro leo inasoma 2400mpaka 2500 mikoani
Sukari ndio hivyo tena
Yaan yeye hamna popote anapatia hata aserebuke kua hapa nimepatia waaaaaai
Katika dunia ya leo hata uwe na kila kitu ndani lakini maisha utakayo ishi utaishi kutukana na nguvu za nje ya nyumbani kwako.mafuta ya kula nayo mhmmmmm
Dah watu tafsida... BarrraaaaKazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
Alikuta mambo mengi yameishaharibika; hivyo akijaribu kuyafanyia marekebisho yanaharibika zaidi. Tukae tujiulize maswali ya kimantiki.
1. Alipoingia madarakani alikuta nini azina?
2. Nani aliharibu miundo mbinu ya treini na kuliingiza taifa kwenye matumzi ya barabara?
3. Nani alikuwa akiinjinia uuzwaji wa wanyama kutoka kwenye mbuga zetu?
4. Nani aliruhusu mfumo wetu wa elimu uendelee kutumia utaratibu ule ule wa mkoroni?
5. Nani aliharibu kwenye kilimo kwanza?
6. Nani aliuza benki zetu, nyumba za wafanyakazi kwa kisingizio cha ubinafshishaji?
Majibu ya maswali haya yatamfanya rais wetu aonekane kuwa anachokifanya ni kufufua kile kilichokuwa kinaelekea kufa kabisa. Na hapa sio kwamba namtetea kwamba mimi nina hali nzuri - hapana. Sikuwahi kuwa mwanaccm na sitegemei kwa sababu hii ni kambi yenye kuendeleza yale ya wakoloni.
Hii kitu iliniuma sana, timu ilishajiweka kiushindi yeye akawaita kuwavuruga mara ooh mtazitapika, mara natamani hii timu iwe ya wanajeshi na blabla kibao vijana wakachanganyikiwa4. Taifa star na million 50 ikaangukia pua.
4.pensheni za wastaafu zimedorola.5.ikulu imebuma,kila siku matembezi ya mabeberu yasiyo na tija.1.Mererani huko Tanzanite kumekucha!
2.Koroshow azisomeki!
3.Forex patashika
4.???
View attachment 956456