linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Jiwe kwa ujuaji wake hana wasiwasi na watumishi wa uma Laki tano na nusu hata wasipompigia kura anajua atapata tu... Amesahau kuna wanaoumia ndani kwa ndani. Time na majeshi yanambebaHuyu mzee 2020, atalinda vituo vya uchaguzi na vifaru, maana kama waliopo kazini wanamchukia hivi, je wale walio graduate tangu 2016 na wapo tu mtaani bila ajira madhara yake anayaona? au nao ni wapiga dili? au anafikiri hata wazazi wa hao vijana wanafurahia kuwaona vijana wao wakiwa nyumbani bila shughuli? stay tuned 2020...... loading.