Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Upo sahhWeee jamaaa banna wapo walio graduate toka 2010 wapo mitaan tu.... Waliojiajiri hali ya uchumi wamefunga miradi na biasha zao wapo mitaani tu, hawana cha kupoteza. Ila amini nakuambia CCM ita tawala sana, watanzania ni malumbuken wa kutupwa, wapo busy na vitu vya hovyo hovyo... Clip za kina gwajima.