Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
.
Time will tell. Walikuwepo kama yeye duniani na sasa wapo Lupango. Wako wapi kama mke wa Mugabe aliyediriki kumpiga mhudumu wa hotel? Bashir na wenzao akina Ghadaffi na watoto wao wako wapi? Heri Mwalimu aliitwa dictator lakini akatupa elimu nzuri ya kutuandaa maishani. Sasa hivi ni bora elimu siyo elimu bora. Tuliosoma na watoto wa mwalimu tunakumbuka maisha waliyokuwa nayo ambayo yalikuwa kama sisi sote. BASHITE.
[
OTE]
 
Anh...nilitaka kupita kimya kimya na kicheko changu...lakini imenibidi nikubali uzito wa hoja yako hii. Sio Bure! Kuna kitu.

Daud Maliyamungu Bashite ndiye Dalali ununuzi wa ndege na sasa ni dalali kwenye matengenezo ya ndege kwa siri kubwa na mkaguzi wa hesabu za Serikali kaambiwa kwenye hesabu za ndege akae mbali sana asithubutu kunusa milele kwa maana mtukufu na Bashite wana 10% zao humo hawataki watanzania wajue, Dili zote za mtukufu hupitishia kwa Maliyamungu Bashite ni kama Marehemu Iddy Amin Dada alivyokuwa akipitishia kila kitu kwa msaidizi wake Marehemu Maliyamungu aliyekuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na sasa Bashite ambaye tumemrithisha jina la Maliyamungu kwa kuwa wanatumia katiba ya idd Amin kuitawala Tanzania
 
Kwa sasa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite hawatumii katba ya Tanzania kuwatawala watanzania bali wanatumia katiba mbili tatu kuitawala Tanzania kienyeji ikiwemo katiba ya Marehemu mabutu ya mtukufu kuwa Waziri wa fedha kienyeji na ile ya Iddy Amin ya kuwanyanyasa Wapinzani na watu wengine wanaowakosoa na pia wanatumia katiba ya Al Bashiri, Bokassa ya kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani, kwa sasa Tanzania haiongozwi kwa mujibu wa katiba ya Tanzania bali kwa mujibu wa fikra binafsi za Naibu Rais na mtukufu na katiba za mataifa mengine kabsa.
 
Mwalimu alikuwa cold dikteta sababu ya malezi ( kulelewa Na wazazi wawili hadi ukubwani) pia dini ilimshape ikamfundisha kuhusu Mungu roho,uhai Na utu.Tofauti Na mablood dikteta wa zama zake
Nyerere alinusurika kupinduliwa mara kadhaa ndipo akiwa mkali lakini kabla ya hapo Nyerere hakuwa na Tatizo na mtu, lakini hawa wa sasa ni waonevu tu wanawaonea watu makusudi
 
Ushirika wa wachawi si wa kudumu hata kama wamewekana mfukoni Kwa maagano ya mizimu
Le mutuz mwenyewe licha ya kuwa dalali wa kuleta waganga wa kienyeji aliugua mpaka kulazwa muhimbili, ipo siku mizimu yao itagoma ingawa mwaka 2020 mtukufu anataka Bashite Maliyamungu agombee ubunge Kinondon au kawe kisha amsimike uwaziri wa mambo ya ndani awakomoe Wapinzani na wale wote wanaomkosoa
 
Yeye na bashite mahusiano yao ni ya matambiko hayavunjwi kwa taratibu za kiserikali bali mizimu. Na huko kwenye mizimu bashite ndio senior kwa Magu.

Kwa hiyo technically Rais wa nchi hii ni Bashite. No wonder aliwaambia watu "mnaodhani mna vyeo vikubwa msijidanganye ninawazidi kwa mengi sana". It is scary.
 
Naomba msamaha kwa watanzania kwa kumsema kiongozi wetu kwa jambo hili

Mkuu kuna mambo mengi unajichanganya sana

Suala la uwajibikaji wa kiserikali na ofisi kwa ujumla
Naona Makonda na Makala kwa sasa aliyepaswa kuwa nje system nani?

Kosa la Makala ni la kawaida kulingana na makosa pamoja na tuhuma za Makonda?

Juzi mbona ulitwambia ndo mkuu wa mkoa bora?
Kuna nini cha ghafla?

Nini kinakupa kigugumizi kufanya maamuzi yanayohusu Makonda?

Britannica
Nadhani kuteuliwa si zawadi na pia kuondolewa si adhabu bali ni mipango ya anaye teuwa ili kutimiliza majukumu yake. Anateuwa kupata usaidizi kwa wakati yeye aonapo muafaka. Hashurutishwi wala hashawishiwi. Kama usivyokuwa na mamlaka ya kuhoji ateuwapo, vivyohivyo atenguapo.
 
Kama huelewi maana ya nepotism angalia utawala wa Magufuli utaelewa na vielelezo vyake.

uneg
Naomba msamaha kwa watanzania kwa kumsema kiongozi wetu kwa jambo hili

Mkuu kuna mambo mengi unajichanganya sana

Suala la uwajibikaji wa kiserikali na ofisi kwa ujumla
Naona Makonda na Makala kwa sasa aliyepaswa kuwa nje system nani?

Kosa la Makala ni la kawaida kulingana na makosa pamoja na tuhuma za Makonda?

Juzi mbona ulitwambia ndo mkuu wa mkoa bora?
Kuna nini cha ghafla?

Nini kinakupa kigugumizi kufanya maamuzi yanayohusu Makonda?

Britannica

ni vizuri ukaendelea na mambo yako mambo mengine yatakufanya uwe mchawi bure mkuu
 
L
Le mutuz mwenyewe licha ya kuwa dalali wa kuleta waganga wa kienyeji aliugua mpaka kulazwa muhimbili, ipo siku mizimu yao itagoma ingawa mwaka 2020 mtukufu anataka Bashite Maliyamungu agombee ubunge Kinondon au kawe kisha amsimike uwaziri wa mambo ya ndani awakomoe Wapinzani na wale wote wanaomkosoa

Dunia inaendeshwa Kwa Kanuni huwa yanarudi Kwa kasi.
 
Le mutuz mwenyewe licha ya kuwa dalali wa kuleta waganga wa kienyeji aliugua mpaka kulazwa muhimbili, ipo siku mizimu yao itagoma ingawa mwaka 2020 mtukufu anataka Bashite Maliyamungu agombee ubunge Kinondon au kawe kisha amsimike uwaziri wa mambo ya ndani awakomoe Wapinzani na wale wote wanaomkosoa

Maliyamungu mtoa roho wa Uganda alimuweka tangawizi mfukoni,kwani ndo kashika mikoba ya kamati ya ufundi Na fitina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom