Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ss mbona hamuelezi makosa yake. Yeye sio mkamilifu hata ww ulie post ukipewa hii nchi lazima watu watalalamika. Tuangalie aliyoyafanya ulinganishe na mabaya yake na utazame changamoto ya hii nchi
 
Lakini watu wema huwa hawadumu kwa sababu ya wema wao, kwa hiyo umuombee, usimuombee haisaidii,
Kinachosaidia kipo ila hakuna atayethubutu maana Bei yake inazidi uvumilivu wa 7x70 ya Agano Jipya.
Mkuu wewe ulikuwa bado unamwombea?Mimi na mke wangu hatujawahi kumwombe na hatuta mwombea. Hatuwezi kumwagilia maji kisiki.
 
Mkuu wewe ulikuwa bado unamwombea?Mimi na mke wangu hatujawahi kumwombe na hatuta mwombea. Hatuwezi kumwagilia maji kisiki.
Boss samahani, maombi ni siri ya rohoni, usimsemee mtu na nafsi yake Ata kama ni mkeo. Siri yake Ni zaidi ya kupiga kura.
 
Ss mbona hamuelezi makosa yake. Yeye sio mkamilifu hata ww ulie post ukipewa hii nchi lazima watu watalalamika. Tuangalie aliyoyafanya ulinganishe na mabaya yake na utazame changamoto ya hii nchi

Changamoto ya Nchi hii haimalizwi kwa Akili na Utashi wa Mtu mmoja ,tuna miongozo (Sheria) mbona hazifuati ?..

Kikatiba mwanzoni kabisa ilikuwa ni sahihi yeye kuzuia Mikutano ya Siasa !?..Tuanzie hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom